Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,943
- 46,442
- Thread starter
- #21
Mkuu mbona hata Dr.Slaa naye ni makombo ya CCM unakumbuka mtindo alioingia nao Chadema.Maalim thread yako inaivua nguo ACT na Zitto...Unatoa picha kuwa hawawezi kupata ''cream'' bali wao ni wa kusubiri makombo tu! Come on you can do better, ustaadh!