ACT Wazalendo kumuenzi Nyerere

ACT Wazalendo kumuenzi Nyerere

Kwa hiyo lowassa na rostam wameshawapeni fedha wasaliti muwe kama nyerere ,maishani mwake hakuwahi kumsaliti mwafrika mtanganyika na baadaye mtanzania alisimamia haki hamna strategist wakuwasaidia chama chenu kiinuke
 
wanaleta sanaa kwenye nyumba ya sana
anamunga mkono januar makamba kwa kuwa ni marafiki lkn anajifanya akumuona simba wa yuda bigwa wa siasa afrika na dunia sharf hamd wa ukawa,yeye kila kukikucha anawasifu ccm lkn nafkiri sio kosa kwa kuwa ccm nao ni wajamaa wenzao
 
Kama kiongozi wa chama kamkana Mungu hadharani katengua ndoa iliyounganishwa na Mungu we unategemea nini hapo. Amkanaye bwana duniani naye atamkana ivyoivyo mbinguni sio maneno yangu haya Padre slaa kazi anayo atubu.

ukileta siasa chafu hapa ndio umefika
mbona nasikia zito hana mtoto na hajaowa ni kweli ndugu?hebu jibu basi ndugu wajamaa
 
Mna muenzi Nyerere kwa kuvaa suti ? Acheni utani na jina la Nyerere.........mabangi juu hadi kwenye tangazo......
 
Very cheep politics rais wenu atakuwa nani?




View attachment 258486
nchi kurudi kwenye misingi.
Tabora na historia ya kura tatu 1958.
Tunamuenzi nyerere kwa vitendo
ukumbi ulipofanyika halmashauri kuu ya tanu ndiyo utafanyika halmashauri kuu ya act-wazalendo
uwanja aliohutubia nyerere ndiyo ataohutubia zitto kabwe,hamad yussuf,anna mghwira,shaban mambo,samson mwigamba,msafiri mtemelwa,juma saanane,habib mchange,mohammed massaga massaga,richard sabini,afande sele na viongozi wengine wengi wa act-wazalendo.
Maazimio ya halmashauri kuu yatasemwa hapo kama alivyofanya nyerere.
 
Back
Top Bottom