karama kaila
Senior Member
- Jan 30, 2015
- 122
- 60
Nchi kurudi kwenye misingi.
Tabora na historia ya kura Tatu 1958.
Tunamuenzi Nyerere kwa vitendo
Ukumbi ulipofanyika Halmashauri kuu ya TANU ndiyo utafanyika Halmashauri kuu ya ACT-Wazalendo
Uwanja aliohutubia Nyerere ndiyo ataohutubia Zitto Kabwe,Hamad Yussuf,Anna Mghwira,Shaban Mambo,Samson Mwigamba,Msafiri Mtemelwa,Juma Saanane,Habib Mchange,Mohammed Massaga Massaga,Richard Sabini,Afande Sele na viongozi wengine wengi wa ACT-wazalendo.
Maazimio ya Halmashauri kuu yatasemwa hapo Kama alivyofanya Nyerere.