schlumberger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 890
- 350
HUWEZI SEMA TAIFA KWANZA CHAMA BAADAE WAKATI KILICHOWATOA KWENYE VYAMA VINGINE NI UVYAMA NA SI UTAIFA? kAMA KWELI LENGO LENU NI TAIFA KWANZA MSINGEANZA KWA KUTETEA CHAMA NA KUANZA KWA KUPONDA VYAMA VINGINE MIMI NASEMA HIYO SIASA ULIYOELEZWA HAPA SI SIASA BALI NI UNAFIKI TU? HAKUNA HATA SIKU MOJA CHAMA CHA SIASA KIKASEMA TAIFA KWANZA KIKASAHAU CHAMA CHAKE HUKU NI KUTUDANGANYA.
Hii kauli mimi naielewa vizuri:
kukataa posho = Taifa kwanza
Tununue mitambo ya Dowans = Taifa kwanza
Mabilioni nje yaje = Taifa kwanza
Chadema hawajaleta hesabu kukaguliwa = Taifa kwanza
Billion 400 za Zitto zarejeshwa serikalini ==Taifa kwanza
Kumtambua Rais aliyeshinda = Taifa kwanza
Hebu endelea na wewe.....
HUO NDIO UZALENDO.........
HUO NDIO UUNGAWANA......
HIYO NDIYO SIASA SAFI......
HUO NDIO UONGOZI BORA...
Nipo nyuma ya wenye kutanguliza maslahi ya Taifa kwanza.