Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,286
- Thread starter
- #81
Taifa kwanza chama baadae? kwahiyo hicho chama kina maslahi yasiyo ya kitaifa? ACT ujana ni maji ya moto na ujuaji kupitiliza huzaa upofu.Msikurupushwe kufanya mambo kwa hasira kuikomoa Chadema kumbe mwisho itabaki aibu yenu.
Kwa yanayoendelea ndani ya chadema na cuf ni dhahiri ACT imekuja wakat muafaka kinyume chake nch ingeyumba sana.
Dr slaa na Lipumba wamesimamia haki, Mbowe na CDM yake wamebadilishwa na LOWASA na wafuas wao wamebadilishwa pia, sijui ww, umebadilika?