ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

Moderators wekeni namna ya kumpima mchangiaji IQ yake. Maana mtu juzi tu kajiunga lakini ana post zaidi ya elfu moja lakini karibu zote ni hewa.
 
Moderators wekeni namna ya kumpima mchangiaji IQ yake. Maana mtu juzi tu kajiunga lakini ana post zaidi ya elfu moja lakini karibu zote ni hewa.

we msukule unahitaji kukombolewa kifikra na chama makini ACT
 

ACT ni chama cha watanzania wote bila kujali dini, rangi, kabila wala kanda
 
Kuna haja ya kutuma vyeti vya kuzaliwa ili kujisajiri kwenye jukwaa hili maana usikute tunabishana na watoto watoro wa shule wanaoshinda kwenye internet cafeeee wanacheza game mtandaoni. Cookie Ondoa uzi huu hauna mashiko

Sure Mkuu;
Kama huyu jamaa ni kibichwa mzula kabisa hana hoja yoyote makini kutwa yupo mtandaoni anatema mashudu tu.
 
Last edited by a moderator:
chama cha akina mwigamba+zitto+kitila... ndio maana kina jina la KANISA
 
Sure Mkuu;
Kama huyu jamaa ni kibichwa mzula kabisa hana hoja yoyote makini kutwa yupo mtandaoni anatema mashudu tu.



Hili jamaa jalina akili.linahanhaika nadhani linatumiwa na na cha cha majamnazi maana lina tapatapa sana enti chama mbadala
 
anatakiwa awataje watu walio kwenye chama hicho. ambao anasema ni wasomi ambao hawakupata division zero.
 

ulitakiwa kuanza na salam ya dini ya hich chama kwasababu nio ch akidini
 
siku jua kama zito anaulewa mdogo wa kimawazo kushawishiwa na wazee wa ujiji anataka aanzishe chama mbadala wa CDM sio rahisi
 
Wadau nimeibiwa hati miliki....

Kama mtakumbuka heading ya mleta uzi haikuwa hii ni mm niliyeanzisha uz huu na ukafutwa na heading yangu kupewa huyu...

Ningekuwa nauwezo ningeshitaki forum hii..

Ama kweli hii ndo jf

Haaa! Pole mkuu kumbe hili dubu ni lijambazi ama kweli ukoo wa panya ni hatari nami niliona heading ya mwanzo baada ya kuona linashambuliwa likaamua kuja kudokoa dah!
 
Kwa namna chama hiki kinavyoshabikiwa,kupigiwa debe na kusifiwa kwa namna mbali mbali na wale waliomstari wa mbele kuitetea CCM humu mitandaoni ni wazi chama hicho sio mbadala wa CDM hata kidogo.ACT tayari kimejipambanua wazi kuwa ni kikundi kilichoanzishwa na watu walio na malengo ya kudhoofisha harakati za Watanzania waliochoshwa na utawala dhalimu wa CCM,wenye nia ya dhati ya kujitoa kwenye makucha ya wakoloni weusi kwa kuiunga mkono CDM.ACT imekuja kupambana na CDM kwa maslahi ya CCM,ni kikundi cha watu wanafiki na wasaliti wa Watanzania maskini wa nchi hii.
 

Kuna mtu aliniambia Kitila ni fully TISS na ndiye aliyekuwa assigned kuimaliza cdm by 2013. Sikuwahi kmwamini huyo jamaa maana ni mtu wa kawaida tu. Lakini kutokana na huu uking'ng'anizi wa jamaa nimeanza kuamini huenda ikawa ni kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…