ndio akili yako imeishia hapo?
Wewe hata kingereza hujui huenda ata hujaelewa jamaa katumia lugha gani
Wewe hata kingereza hujui huenda ata hujaelewa jamaa katumia lugha gani
C' est - à- dire quoi ? On continue ......
huyu# abhakorakamo# yani anataka afanywe kamoja,ana akili ndogo sana hata hajui kushawishi kama ndiye anatumiwa kushawishi wanachama basi jamaa ni kilaza kweli,kila siku anakuja na mada ile ile kila jukwaa yupo,utafikiri kachanganyikiwa,kiufupi unakera kwa mada zako za hao misukule wako.
Huyu kakabidhi akili kwa wengine, halafu anajifanya mjanja. Amekaririshwa neno ACT, Fuatilia posts zake humu hamna kitu. Hakuna hoja hata kidogo.
yaani ukibadili lugha tu umempoteza huyu mbwiga ni darasa la nne d. tehe tehe
Nilidhani kuna cha maana humu!! kumbe usaha wa wasaliti!!
Wakuu,
Baada ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kupoteza uelekeo na kusambaratika, hatimae chama mbadala wa CHADEMA kimepatikana.
Chama hiki makini na mkombozi wa watanzania ni ACT.
ACT ni chama makini sana na viongozi wake ni wasomi hawajakimbia shule wala kupata division zero kwenye mitihani yao,
Sera kuu ya ACT ni maendeleo kwa vijana wote wa tanzania.
ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kidini, kikabila wala kikanda kama vyama vingine
Naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha ACT.
Naomba kuwakilisha hoja.
Mwenyekitiwao wa muda ni LIMBU, ambayae bado pia ni katibu wa ADC, kazi ipo, MM kaingizwa chaka, MICHUZI BLOG: Katibu Mkuu wa ADC katika ziara mkoani Mwanza
Whaat!!?? Katibu wa ADC ni mwenyekiti wa Muda wa ACT?????!!!!!
-§-Chama kipya cha "ACT" almaarufu kama "Alliance for Cowards and Traitors"
1. Ni maalumu kwa wakazi wa Mkoa wa Kigoma pekee au ni kwaajili ya Tanzania nzima??!!
2. Kipo kwaajili ya kupambana na CCM au CHADEMA ??!!
3. Kina nia ya kweli ya kuchukua dola??!!
4. Ipi sababu kubwa ya waasisi na viongozi wa juu wa chama hicho kutojitokeza wazi na baadala yake kuishia kujificha nyuma ya pazia??!!
5. Ni kweli kwamba chama hiki kinahusishwa na Udini??!!
6. Ni kweli kwamba chama hiki ni Tawi la Chama Tawala (CCM) maalum kwaajili ya kupunguza kura za upinzani haswa CHADEMA mwaka 2015 ??!!
7. Tunapata picha gani kutokana na chama hiki kinachoundwa na viongozi na wanachama walioasi, kusaliti na kufukuzwa katika vyama vingine vya siasa??!!
8. Unaichukuliaje kauli mbiu ya chama hiki ya "Taifa kwanza Chama baadae" ilihali wahusika (waasisi) haohao wakiwa ndio wa kwanza kukimbilia kuanzisha na kusajili chama chao (ACT)??!!
9. Wewe kama wewe unakizungumziaje chama hiki kilichopata usajili wa muda siku chache zilizopita??!!
:rolleyez:Kuuliza sio ujinga!
padr slaa anakadi ya ccm na anailipia kila mwezi