ACT mnastahili pongezi

ACT mnastahili pongezi

Mpaka wewe unasifia chama cha upinzani?

Chama chochote cha upinzani kinachosifiwa na wana CCM sio chama ni maiti

Hatuingii huo mtego!
Hata ivo ACT sio chama pinzani, ni mdogo ake CCM wengi tunaelewa hilo maana malezi na makuzi yake vinajieleza
 
Mwanzo wa jambo lolote huwa mgumu ndiyo maana waswahili husema Roma haikujengwa siku moja haijalishi tumetukanwa sana lakini Leo Tumefaniwa kuwasemea watanzaia walio wengi ACT tumepitia kwenye shimo la moto la utawala wa mwendazake lakini kwa hii hatua ni tuliyoifikia ni kubwa katika safari ya kutafuta demokrasia ya ukweli hapa Tanzania Tumefaniwa kukubaliana kuingiza vipengele vinne ikiwa ni pamoja na suala la tume huru ya uchaguzi hongereni viongozi wote mliofanikisha haya majaliano daima historia itawakumbuka.
Sponsor wao ni nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom