mfwalamagoha
Senior Member
- Dec 29, 2014
- 172
- 42
Bado hamjazingatia ushauri wangu..?
Hivi hicho chama chenu mmewekeza kwenye picha tu? Kwanini mnashindwa kutoa mrejesho wa kile kilichozungimzwa na wahutubiaji pamoja na kutoa hizo picha,? Kwanini msiwape wanajf Mrejesho wa Wanachama wangapi waliojiunga kwenye mkutano wenu, Au wangapi waliorudisha kadi toka vyama vingine kutokana na kuvutiwa na sera zilizonadiwa kwenye mkutano huo
Unapimaje kwamba Chama kimepokelewa vizuri kwasababu ya umati wa wananchi waliojitokeza hapo? Unajuaje kwamba wote waliofika hapo ni Mashabiki wa ACT na wanaiunga mkono?
Ungekuwa makini ungeweka idadi ya wanachama wanaojiunga kwenye mikutano hiyo na hapo ndipo kilipo kipimo cha kupokelewa na vizuri na watanzania na si Umati wa watu kwenye Mikutano hiyo.
BACK TANGANYIKA

kwa jinsi ninavyfahama mji wa makambako hiyo ni idadi ndogo sana ya watu, ni ndogo sana
Only in Tanzania wapinzani wanapingana wao kwa wao na si chama tawala.
Kuwa mfuasi au wa chama au mshabiki wa chama si lazima uwe na kadi ya chama unakuwa na mfuasi kisera na kukipigia kura hicho ni kitu kikubwa sana,
Sio unakuwa na kadi au uilipii aina mahana
Picha siyo tija; watu wanaweza kuja kukudis tu na si vinginevyo......
Umekosa ustaarabu kabisa. Hayo ni maoni na mtizamo wangu na sio lazima ukubaliane na mimi. Wewe pia toa maoni na mtizamo wako huna sababu ya kunibwatukia mimi. Hivi kama nisingefunzwa kusoma na kuandika nisingeweza kuwaza, kutafakari na kusema?umejisikia tu kuandika upumbavu kama huu kwa sababu tu ulifunzwa kusoma na kuandika.!
Bado hamjazingatia ushauri wangu..?
Hivi hicho chama chenu mmewekeza kwenye picha tu? Kwanini mnashindwa kutoa mrejesho wa kile kilichozungimzwa na wahutubiaji pamoja na kutoa hizo picha,? Kwanini msiwape wanajf Mrejesho wa Wanachama wangapi waliojiunga kwenye mkutano wenu, Au wangapi waliorudisha kadi toka vyama vingine kutokana na kuvutiwa na sera zilizonadiwa kwenye mkutano huo
Unapimaje kwamba Chama kimepokelewa vizuri kwasababu ya umati wa wananchi waliojitokeza hapo? Unajuaje kwamba wote waliofika hapo ni Mashabiki wa ACT na wanaiunga mkono?
Ungekuwa makini ungeweka idadi ya wanachama wanaojiunga kwenye mikutano hiyo na hapo ndipo kilipo kipimo cha kupokelewa na vizuri na watanzania na si Umati wa watu kwenye Mikutano hiyo.
BACK TANGANYIKA
amejipalia moto mkali jukwaa haliwezi a.yatollah anajisifu ya bungeni wakati hayuko bungeni mikutano yake sawa na ya diwani yeyote wa chadema na huku yeye ni khomein wa act duhNdio mana tunasema watu kwenye mikutano ya Chadema huwa wanafata Chopa hamtuelewi,ila kwa moto huu wa Zitto mtaelewa tu sasa