Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,252
- 10,248
mdee alienda kigoma????
Kudanya nn ?
mdee alienda kigoma????
Kilia alaumiwe kwa lipi? hapa kuna mada gani na wewe unajadili nini???
Ni kweli mkuu.
Lakini unatambua kwamba CDM na CUF ndio chanzo cha haya ya UDINI?
Maana kundi moja linatumia misikiti na jingine linatumia makanisa.
Sasa ni bora kumpa asiye fungamana na upande wowote.
mnaweweseka sana,,,, mmepotea, na mnadhani ukawa itawarudisha hewani,,, jidanganyeni.
mnaweweseka sana,,,, mmepotea, na mnadhani ukawa itawarudisha hewani,,, jidanganyeni.
hayo ni maneno yako wala hakuna mtu mwingine aliyesema kama unavyotaka kutuaminisha
Unaweza kukuta wewe ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT pamoja na Prof. Kitila MkumboMkuu nimekupata vema.
Ni wachache watakaokuelewa kwa sasa,kwanza kitendo cha vyama vya upinzani kuungana(UKAWA)nadhani ndio CUF imejichimbia kaburi.
Nilikua ktk nyumba ya ibada juzi,kwa masikio yangu nilisikia baadhi ya waumini wakiyataamka haya:
1.MGOMBEA URAIS AKITOKA CUF WATAIPA KURA YAO UKAWA.
2.MGOMBEA URAIS AKITOKA CHADEMA BILA KUJARI DINI YAKE BASI WATAPIGA KAMPENI NCHI NZIMA ILI KUICHAGUA CCM IENDELEE ATA KAMA CCM ITAMSIMAMISHA PUNDA KUGOMBEA NAFASI HIYO.
Mpaka leo sijapata jibu ni kweli UKAWA wameungana ili kuitoa CCM au kujimakiza?
MAANA ATA KAMA UKAWA WATAMSIMAMISHA MWANACHAMA WA CUF KUGOMBEA KUINGIA PALE MAGOGONI SIDHANI KAMA ATAPATA KURA KUTOKA KASIKAZINI MWA NCHI,as WELL MAENEO YA KIMARA PIA!!!!
WELL,WELL NGOJA TUSUBIRI TUONE NINI KITATOKEA!!!!
Mkuu unatia huruma. Kwaiyo haya ndio mawazo ya wana ACT? Yani Viongozi wenu wa ACT nao wanaamini ujinga huu?Ni kweli mkuu.
Lakini unatambua kwamba CDM na CUF ndio chanzo cha haya ya UDINI?
Maana kundi moja linatumia misikiti na jingine linatumia makanisa.
Sasa ni bora kumpa asiye fungamana na upande wowote.
Mkuu unatia huruma. Kwaiyo haya ndio mawazo ya wana ACT? Yani Viongozi wenu wa ACT nao wanaamini ujinga huu?
Hivi nyie ACT mnaakili kweli au basi ni njia ya kuwaonyesha wadhamini wenu ccm kuwa bado mpo!#?.Mtu mzima huwezi ongea huu utumbo.Halafu Mods nipeni msaada wa kufahamu tofauti kati ya @Njano5 na dotto C.Rangimoto.Ni id's zinazoambatana kila post.Sasa kwa mtazamo wangu ni kama ile sheria yetu imevunja hapa.Nadhani mtakuwa mmeshajua ninachokimaanisha.Sitaki kuingia ndani sana coz mtasema mambo ya Name calling!!