kailakarama
Member
- Aug 30, 2014
- 73
- 30
Dotto umenena vyema yaani ni ukweli mtupu
Matokeo ya kupenya katikati ni mimba "Chotara." Hamjijui mnasimamia upande gani.
Lawama zote ziende kwa Kitila, kumsababishia mwenzake anguko la kisiasa.
Mkuu nimekupata vema.
Ni wachache watakaokuelewa kwa sasa,kwanza kitendo cha vyama vya upinzani kuungana(UKAWA)nadhani ndio CUF imejichimbia kaburi.
Nilikua ktk nyumba ya ibada juzi,kwa masikio yangu nilisikia baadhi ya waumini wakiyataamka haya:
1.MGOMBEA URAIS AKITOKA CUF WATAIPA KURA YAO UKAWA.
2.MGOMBEA URAIS AKITOKA CHADEMA BILA KUJARI DINI YAKE BASI WATAPIGA KAMPENI NCHI NZIMA ILI KUICHAGUA CCM IENDELEE ATA KAMA CCM ITAMSIMAMISHA PUNDA KUGOMBEA NAFASI HIYO.
Mpaka leo sijapata jibu ni kweli UKAWA wameungana ili kuitoa CCM au kujimakiza?
MAANA ATA KAMA UKAWA WATAMSIMAMISHA MWANACHAMA WA CUF KUGOMBEA KUINGIA PALE MAGOGONI SIDHANI KAMA ATAPATA KURA KUTOKA KASIKAZINI MWA NCHI,as WELL MAENEO YA KIMARA PIA!!!!
WELL,WELL NGOJA TUSUBIRI TUONE NINI KITATOKEA!!!!
hakuna kurudi nyuma mkuu, bali hapa tunachukua hatua stahiki dhidi ya CCM na mawakala wao.
Ushauri wabure kwa wote msiopenda kusoma kabla ya ku comment ,uzi huu ni muhimu saaana kwa mustakabali wa siasa zetu hasa tunapokwenda 2015,
Upinzani wametukatisha tamaa hasa baada ya kufanya vitendo visivyomithilika.
Mfano mzuri ni tabia ya kujifanya mawinyi na wasiokosoleka.
Mbaya zaidi ni ile tabia ya Chadema kuchakachua katiba yake wenyewe ili kuwabakisha watwana madarakani.
Hii inawatia shaka wananchi kuqa hata wakiingia madarakani qatafanya hivyohivyo kwa katiba ya nchi kama ilivyo kwa Rais wa Bukinafaso ambae leo tumeshuhudia Bunge likichomwa moto.
ACT mnapaswa kuwa makini kwa kila hatua moja mtakayipiga,mnaadui wengi ,na wote ni kuhakikiaha chama hakikui na kinarudia makosa kama yaliyokwisha fanywa na watangulizi wenu.
Ni kweli mkuu.udini ni sumu mbaya mkuu
Mkuu nimekupata vema.
Ni wachache watakaokuelewa kwa sasa,kwanza kitendo cha vyama vya upinzani kuungana(UKAWA)nadhani ndio CUF imejichimbia kaburi.
Nilikua ktk nyumba ya ibada juzi,kwa masikio yangu nilisikia baadhi ya waumini wakiyataamka haya:
1.MGOMBEA URAIS AKITOKA CUF WATAIPA KURA YAO UKAWA.
2.MGOMBEA URAIS AKITOKA CHADEMA BILA KUJARI DINI YAKE BASI WATAPIGA KAMPENI NCHI NZIMA ILI KUICHAGUA CCM IENDELEE ATA KAMA CCM ITAMSIMAMISHA PUNDA KUGOMBEA NAFASI HIYO.
Mpaka leo sijapata jibu ni kweli UKAWA wameungana ili kuitoa CCM au kujimakiza?
MAANA ATA KAMA UKAWA WATAMSIMAMISHA MWANACHAMA WA CUF KUGOMBEA KUINGIA PALE MAGOGONI SIDHANI KAMA ATAPATA KURA KUTOKA KASIKAZINI MWA NCHI,as WELL MAENEO YA KIMARA PIA!!!!
WELL,WELL NGOJA TUSUBIRI TUONE NINI KITATOKEA!!!!
ACT ni Mawkala wa CCM, Ina maana mnaichukulia Hatua wenyewe.
Huu ni zaidi ya Ubata Mzinga Jike
mnaweweseka sana,,,, mmepotea, na mnadhani ukawa itawarudisha hewani,,, jidanganyeni.
Tuko kanda ya Ziwa tunakamua ki chizi,nyie kalieni Madogoli ya Mwandiga muone kama hamjaishia kuwekwa unyumba tu mjin hapa
mdee alienda kigoma????
acha kujitomasa,subiri tukutomase sisi vidume