Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,429
- Thread starter
- #41
Lakini Mkuu usipokuwa na chama na usipokuwa kiongozi, unaacha gap kwa hao unaodhani hawafai kuwa viongozi wako.Chama cha wala rushwa na watoa rushwa hiko,kinatumia pesa za walipa kodi kununua madiwani na kujifanya kinaungwa mkono.bora nibaki niwe sina chama kama nilivyo,lkn sio kwenda chama cha kijani
Any way, nakushauri tuungane kutoe elimu na hamasa itakayotusaidia kujenga vyama bora na kuandaa viongozi bora