M Mdukuzii JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 2,552 Reaction score 6,449 Jul 16, 2022 #1 ACP Ramadhani Kingai wasalimie Kigoma, uliipenda Kinondoni ila Kinondoni haijakupenda
LESIRIAMU JF-Expert Member Joined Feb 12, 2008 Posts 9,193 Reaction score 14,900 Jul 16, 2022 #2 Mdukuzii said: ACP Ramadhani Kingai wasalimie Kigoma,uliipenda Kinondoni ila Kinondoni haijkupenda Click to expand... Ethics za kazi huko polisi hamna. Hivi na madudu yooote Kingai aliyo fanya akiwa Rco Arusha, Rpc Kinondoni kweli bado ana stahili kuwa kiongozi??
Mdukuzii said: ACP Ramadhani Kingai wasalimie Kigoma,uliipenda Kinondoni ila Kinondoni haijkupenda Click to expand... Ethics za kazi huko polisi hamna. Hivi na madudu yooote Kingai aliyo fanya akiwa Rco Arusha, Rpc Kinondoni kweli bado ana stahili kuwa kiongozi??
M Mdukuzii JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 2,552 Reaction score 6,449 Jul 16, 2022 Thread starter #3 LESIRIAMU said: Ethics za kazi huko polisi hamna. Hivi na madudu yooote Kingai aliyo fanya akiwa Rco Arusha, Rpc Kinondoni kweli bado ana stahili kuwa kiongozi?? Click to expand... Wanalindana sana serikalini hakuna wakuwagusa, huyu ni mtoto wa hiari wa mzee Makamba nani atamgusa
LESIRIAMU said: Ethics za kazi huko polisi hamna. Hivi na madudu yooote Kingai aliyo fanya akiwa Rco Arusha, Rpc Kinondoni kweli bado ana stahili kuwa kiongozi?? Click to expand... Wanalindana sana serikalini hakuna wakuwagusa, huyu ni mtoto wa hiari wa mzee Makamba nani atamgusa
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,021 Reaction score 16,590 Jul 16, 2022 #4 Kapelekwa huko ili akapigwe kipapai na wazee was Ujiji
M Mdukuzii JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 2,552 Reaction score 6,449 Jul 16, 2022 Thread starter #5 KISIWAGA said: Kapelekwa huko ili akapigwe kipapai na wazee was Ujiji Click to expand... Yeye mwenyewe yuko fit. Tanga na Kigoma ngoma droo
KISIWAGA said: Kapelekwa huko ili akapigwe kipapai na wazee was Ujiji Click to expand... Yeye mwenyewe yuko fit. Tanga na Kigoma ngoma droo
chawa wa mama JF-Expert Member Joined Jun 8, 2020 Posts 292 Reaction score 1,086 Jul 16, 2022 #6 Kazi ya kuwa polisi nchi hii ni ngumu sana. Unamlaumu Kingai kwa lipi? La Mbowe? Angefanyaje?
Mto wa mbu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2021 Posts 4,126 Reaction score 9,593 Jul 16, 2022 #7 Mdukuzii said: Yeye mwenyewe yuko fit .Tanga na kigoma ngoma droo Click to expand... Jamaa Ni Useless kabisa
Mdukuzii said: Yeye mwenyewe yuko fit .Tanga na kigoma ngoma droo Click to expand... Jamaa Ni Useless kabisa
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,701 Jul 16, 2022 #8 Ngoja akazingue Waha na Wamanyema wamuwahishe kuzimu
Mto wa mbu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2021 Posts 4,126 Reaction score 9,593 Jul 16, 2022 #9 PLO said: Kazi ya kuwa polisi nchi hii ni ngumu sana. Unamlaumu Kingai kwa lipi? La Mbowe? Angefanyaje? Click to expand... Ulitaka afanyeje? Ukitenda ubaya jina lako halifutiki,nilipitia page ya ITV walipost uhamisho wa Kingai, wananchi walimpiga spana za kutosha kisa kesi ya Mbowe
PLO said: Kazi ya kuwa polisi nchi hii ni ngumu sana. Unamlaumu Kingai kwa lipi? La Mbowe? Angefanyaje? Click to expand... Ulitaka afanyeje? Ukitenda ubaya jina lako halifutiki,nilipitia page ya ITV walipost uhamisho wa Kingai, wananchi walimpiga spana za kutosha kisa kesi ya Mbowe
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,945 Jul 16, 2022 #10 KISIWAGA said: Kapelekwa huko ili akapigwe kipapai na wazee was Ujiji Click to expand... Yaani wewe umeona Kigoma yoote Ujiji ndio kuna wachawi?!
KISIWAGA said: Kapelekwa huko ili akapigwe kipapai na wazee was Ujiji Click to expand... Yaani wewe umeona Kigoma yoote Ujiji ndio kuna wachawi?!
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,606 Reaction score 64,450 Jul 16, 2022 #11 Ngoja akapambane na wenye wivu wa kimapenzi
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 19,968 Reaction score 23,981 Jul 16, 2022 #12 .....ana roho mbaya sana huyo
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,020 Reaction score 22,078 Jul 16, 2022 #13 Sema naona kapanda anaenda kua kamanda mkuu wa polisi Kigoma au nilisikia vibaya
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,239 Jul 16, 2022 #14 PLO said: Kazi ya kuwa polisi nchi hii ni ngumu sana. Unamlaumu Kingai kwa lipi? La Mbowe? Angefanyaje? Click to expand... Ameagwa tu hajalaumiwa.
PLO said: Kazi ya kuwa polisi nchi hii ni ngumu sana. Unamlaumu Kingai kwa lipi? La Mbowe? Angefanyaje? Click to expand... Ameagwa tu hajalaumiwa.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,239 Jul 16, 2022 #15 Tajiri Kichwa said: Sema naona kapanda anaenda kua kamanda mkuu wa polisi kigoma au nilisikia vibaya Click to expand... Kigoma ni Kigoma tu.
Tajiri Kichwa said: Sema naona kapanda anaenda kua kamanda mkuu wa polisi kigoma au nilisikia vibaya Click to expand... Kigoma ni Kigoma tu.
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,511 Jul 16, 2022 #16 LESIRIAMU said: Ethics za kazi huko polisi hamna. Hivi na madudu yooote Kingai aliyo fanya akiwa Rco Arusha, Rpc Kinondoni kweli bado ana stahili kuwa kiongozi?? Click to expand... Madudu ni tafsiri tu,hata flash yenye window ukiiweka kwenye tv inasoma uchafu.
LESIRIAMU said: Ethics za kazi huko polisi hamna. Hivi na madudu yooote Kingai aliyo fanya akiwa Rco Arusha, Rpc Kinondoni kweli bado ana stahili kuwa kiongozi?? Click to expand... Madudu ni tafsiri tu,hata flash yenye window ukiiweka kwenye tv inasoma uchafu.
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,511 Jul 16, 2022 #17 Tajiri Kichwa said: Sema naona kapanda anaenda kua kamanda mkuu wa polisi kigoma au nilisikia vibaya Click to expand... somehow.
Tajiri Kichwa said: Sema naona kapanda anaenda kua kamanda mkuu wa polisi kigoma au nilisikia vibaya Click to expand... somehow.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,239 Jul 16, 2022 #18 "Wasalimie kwa bibi Kigoma, waambie nishaoa"
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 16,703 Reaction score 20,015 Jul 16, 2022 #19 Mtu moja mjinga ni hakuna mfano, bure kabisa. Sasa gaidi anaachiwaje mbona hawakumfunga jela kama walivyokuwa wanataka. Very hopeless.
Mtu moja mjinga ni hakuna mfano, bure kabisa. Sasa gaidi anaachiwaje mbona hawakumfunga jela kama walivyokuwa wanataka. Very hopeless.
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,021 Reaction score 16,590 Jul 16, 2022 #20 Mdukuzii said: Yeye mwenyewe yuko fit .Tanga na kigoma ngoma droo Click to expand... Ana zigo la mihirizi kiunoni
Mdukuzii said: Yeye mwenyewe yuko fit .Tanga na kigoma ngoma droo Click to expand... Ana zigo la mihirizi kiunoni