ACP Hemed Msangi...

Kuna uwezekano mkubwa mamemba wenzetu ambao wametoweka humu jamvini wameonja chungu ya huyu jamaa ahmed msangi. tujiadhari sana na viumbe jamii ya huyu nduli
 

yan hata haueleweki umesimama wapi mkuu! Unajichanga sana yan kama mtoto!

Jaribu kuandika vizuri basi.
 
Tunaomba maelezo ya ziada kuhusu huyo ACP Hemed Msangi...anaishi mtaa gani,watoto wake,mke wake nk ili tuyafanyie kazi coz naona anajifanya mjanja sana huyu kijana.Details plizzz hata kwa PM!!!
 
Kama kuna mkalimani tafadhali atupe tafsiri ya hiki kilichoandikwa hapa.

sidhani kama kuna mtu atamuelewa yani nahisi amechanganyikiwa kabisa.

Hajui anacho kiandika
hajui yuko hupande hupi
 
................................Ni Ahamed Msangi ...................................................Google....................... Ahamed Msangi ......................... All is there...6 Mar 2012 – Dar es Salaam special zone crimes officer Ahamed Msangi said the suspects, owners of a gas company known as Chang Ging International .......Tag archive for 'Ahamed Msangi'. By In2EastAfrica On Monday, February 20th, 2012. 0 Comments. Tanzania Police crackdown on illegal gas dealers. Scores of ..........Naye Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaa Kamishna Msaidizi wa Polisi Ahamed Msangi na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai
 
Kuna uwezekano mkubwa mamemba wenzetu ambao wametoweka humu jamvini wameonja chungu ya huyu jamaa ahmed msangi. tujiadhari sana na viumbe jamii ya huyu nduli

Kwani yeye anaishi wapi? Familia yake iko wapi (wazazi, kaka, dada etc) Kama kweli ana miliki hilo shamba nani anakaa kwenye hilo shamba? Kama imedhibitika ni yeye na wakampangia kuwa kwenye hiyo kamati-now we can confirm this was real planned from top. Na kama kweli yeye ndie alikwenda kumuhoji Dr. Ulimboka inawezekana alitaka kupima Dr. anajua/kumbukumbu gani hasa. Swali ni je watanzania watamwacha huyu mtu aendelee kuishi maisha yake kawaida tu? Naona yule aliyembambikia mtoto wa Mengi madawa yakulevya bado anadunda na cheo chake. Kwakweli tusipoamka sasa sidhani kama yanayokuja mbeleni tutaweza kuyahimili.
 
Fanya Utafiti kwanza kabla ya kuleta ujumbe kama huu ktk blog...mimi nawashangaa sana watanzania hivi ni kwanini tuna penda kuwa na Tabia za kizushi??????????? unajua uzushi unaleta usumbufu mkubwa kama kweli kamanda kahusika huyu aliyeleta huu ujumbe alikuwa wapi?? acheni uzishi hauna ukweli wowote.
Du! Na wewe mlikuwa wote nini? Jamaa unamuona kabisa anataka kukimbia lakini wewe unakataa je wewe unauhakika gani kama sio yeye? Tufahamishe huenda unaufahamu zaidi.
 
Si akamatwe basi huyo msangi?

Kwanini akamatwe na yeye alitumwa kufanya kazi aliyoajiriwa kufanya . Hivi kwenye polisi au jeshi ukipewa order na mkubwa unafikiri kunakusema no? (simaanishi hana hatia, lakini chain ni ndefu; naukianza kumkamata yeye hiyo chain utaimalizia au utaikatia mahali fulani ili kuficha waliomtuma?)
 

Thats very true. Nakubaliana ma wewe, lakini hata YEYE roho yake mbaya. Au ?
 
Nyie mna post picha zake, wengine tukikutana naye mtaani tutakuwa tunatoka nduki.. kama vile tumekutana na la-njiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…