Muda mchache uliopita nimepokea ujumbe huu katika simu,
"Kamanda Msangi aliyemkamata na kumtesa Dr Ulimboka yupo katika jopo la kuchunguza nini kilimtokea Dr Ulimboka. Alipofika kumuhoji Dr Ulimboka alimwambia 'Nirudishie simu na waleti yangu'. Kamanda Msangi taratibu akatoka wodini kichwa chini. Kama wewe ni mpenda haki na unapinga ujinga na dhuluma watumie ujumbe huu watu wengi kadri uwezavyo ili wamjue dhalimu aliyeoongoza unyama huu:"
wakuu napenda kujua undani wa huyu kamanda!
Je kuna ukweli wowote wa haya yasemwayo?