Habari zenu jaman mwenzenu Nina ngozi sensitive lakin chunusi zinazowasha na makovu meusi yameharibu uso wangu naombeni msaada nitumie nini ambacho sio kikali kwa ngozi yangu maana pia hutokewa na mabaka meupe Kama utangotango nmetumia dawa nyingi lakini bado