Kiungulia na gesi

Kiungulia na gesi

Imole

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2021
Posts
1,546
Reaction score
4,327
Kiungulia (Heartburn) husababishwa na Acid reflux au kupanda kwa tindikali kutoka tumboni kuja kwenye umio la chakula. Hali hii hupelekea maumivu maeneo ya kifuani na kero kubwa.

Kwa upande wangu nilikuwa nikisumbuliwa na tatizo hili mara kwa mara, hali iliyonifanya niwe najaribu baadhi ya vyakula kama suluhisho, Na kwa mujibu wa wataalam wa Afya matatizo mengi ya Mfumo wa mmeng'enyo wa Chakula husababishwa na Kiwango Cha asidi kuzidi tumboni, Nikarudi Class

kwenye Reaction ya.
ACID + BASE = SALT & WATER (Netralization)
Hapo ndiko kwenye suluhisho la tatizo hili lote.
Makundi ya vyakula yamegawanyika sehemu kuu mbili vyakula vyenye asili ya Tindikali na vyakula vyenye asili ya Base au alkali. kwa wenye matatizo haya wanapokula vyakula vyenye acid kwa wingi ndiyo hupelekea Matatizo haya. sasa basi unapopata tatizo la kiungulia au Gesi tafuta vyakula vyenye kiwango kikubwa cha base ukila ni hapo hapo tatizo linaisha.

Vyakula vyenye Base kwa wingi.

1. Nyanya
2. Tango
3. Parachichi.
4. Na vinginevyo.
Zingatia unapokula hivi vyakula hutakiwi kuweka chumvi wala sukari.

N.B Am not proffesional this is from my Own Experinece.
 
Control acid yako tumboni na zuia kiunguliaa
 
Ukifata huu ushauri utakuja kunishukuru hapaa.
 
Back
Top Bottom