Achomwa kisu na mpenzi wake Arusha

Achomwa kisu na mpenzi wake Arusha

Status
Not open for further replies.

sisya

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
263
Reaction score
96
Kijana mmoja mfanyabiashara wa aliminiamu wiliadi bewasi ameuwawa kwa kuchomwa kisu na mpenzi wake maeneo ya moshono.mpenzi wake anaitwa Rozi ndosi,picha ya marehemu hii hapa chini pamoja naya muuaji

Sahihi: Marehemu anaitwa Wilbard Dewasi. Haijajulikana kwa uhakika kama huyo mwanamke ndie aliemuua. Lakini jina lake sio Rose Ndosi, ila huyo pichani anaitwa Pauline.
 
Attachments

  • 1413030666402.jpg
    1413030666402.jpg
    82.1 KB · Views: 4,998
  • 1413030747298.jpg
    1413030747298.jpg
    80.3 KB · Views: 4,721
Ndio tunafuatilia chanzo.
 
Poleni ndugu wafiwa. Sasa wewe mleta habari hiyo picha nyingine ni ya huyo dada muhusika kwenye hayo mauaji.
 
Kijana mmoja mfanyabiashara wa aliminiamu wiliadi bewasi ameuwawa kwa kuchomwa kisu na mpenzi wake maeneo ya moshono.mpenzi wake anaitwa Rozi ndosi,picha ya marehemu hii hapa chini pamoja naya muuaji

Hivi mkuu, ukimtizama kwa makini huyo mwanamke , hugundui kitu kweli? Mbona anaonekana mbabe mbabe hivi? N a mshikaji anaonekana mpole kiasi.
 
Itakua mapenzi Tu hakuna jingine ila mwanamke Ana roho ngumu huyo
 
Hivi mkuu, ukimtizama kwa makini huyo mwanamke , hugundui kitu kweli? Mbona anaonekana mbabe mbabe hivi? N a mshikaji anaonekana mpole kiasi.

Kama vile unamfahamu huyo dada alikuwa anafanyakazi ICTR alikuwa anendesha gari kibabe sana.mume wake alishafariki siku nyingi.
 
Jina la dada linaashiria kabila lilee la kichaga tunaloliogopa. Rozi Ndosi au Ndosa. Maisha yake na uzuri wake kunyongwa. Ila pia kijana anaonekana ni mdogo kwa Rozi so yawezekana ni Marioo anamlia mjane wa watu hela na dose anaenda kutoa kwa visichana vya saizi yake. Wanawake mnaohonga vijana wabichi funzo hilo.
 
Unataka kuniambia huyu dada ni kabila la kina ufoo osaro...???hatare sana
 
habari haijakamilika, chanzo nini sasa mpaka watoane roho?! hata tetesi haujasikia?! any way, rest in peace, Bewasi,
 
Hizi kesi mbona zimezidi baada ya kampeni ya baki njia kuu?
 
Dada huyo ni crook by appearance!!!!
Hawezi kuwa less than that!!!

Hadi saa walikuwa wanavaliana sijui walikuwa nazo sare???!
Ila watu wa Arusha kwa nini wadada wa huko wanahema sana? ??!!!
 
Mazoezi ni muhimu sana, nadhani jamaa alishindwa kukimbia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom