Achezea kichapo baada ya kunyonya chuchu za diamond platnumz

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,145


msichana-akibusu-kifua-akinyonya-chuchu-matiti-diamond.jpg


Show ya Diamond platnumz iliyofanyika Kahama, imefagiliwa kwenye mitandao mbalimbali kwa ukali wake. Kama kawaida, mara nyingi vituko huambatana na matukio ya watu kujirusha usiku. Show ya Diamond haikuwa tofauti.Binti alipokua kwenye show ya Diamond, uzalendo ulimshinda, akaenda kunyonya chuchu za diamond kama inavyoonekana pichani hapa chini. Kitendo hicho kilimuudhi bwana wake, ambapo alimvuta binti huyo na kumchapa makofi. Katika picha ya pili, binti huyo anaonekana akilia baada ya kuchezea kichapo, huku akiwa amewekwa “chemba” na boyfriend wake.
binti-kichapo-kwa-kubusu-kifua-kunyonya-matiti-chuchu-diamond.jpg

Binti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wake
SAM_3914.JPG

DIAMOND KAZINI NA MADANCER WAKE
 
Fabricated scenario,hii ndiyo staili ambayo kwa kiasi kikubwa imemtangaza diamonde,kutengeneza vionjo vya ajabu ajabu,ili kuuza sura na jina kwenye magazeti ya shigongo,UTOTO raaha.
 
Hata mimi ningemchapa! Yaani nimgharamie mavazi, nywele, kiingilio na vinywaji halafu akamzimie mwanaume mwingine mbele yangu? He he hee, tudada hutu bana!
 
Bora yeye,last month dada raia wa ghana kala shaba ktk clup moja australia kwa ushamba kama huo.paka disco likafungwa
 
Sasa huyo Diamond mbona sioni wapiga vyombo nyuma yake naona madansa tu au wapiga vyombo wako chini?
 
Hapo uone ni kwa jinsi gani usalama wa hawa wasanii wawapo stejini ni mdogo, vipi angekuwa na kisu au "kitu chenye ncha kali", huyo dogo angepona kweli?
 
Safi sana. Binti gani hana adabu hata ya kuombea chumvi? Piga sana ili ashike adabu. Tena bora hata huyo kamchezeshea kichapo mimi sijui ningemfanyaje aisee.
 
Haters kwa wiiiingi!
Piga kazi Diamond, haters watachonga mchana, usiku watalala.
 
diamond anajitahidi, shule ndogo lakini hakosi mkate wake mezani tena kihalali.
 
Back
Top Bottom