Baby Doll
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 4,880
- 22,052
Mara oooh umejiunga Jana unaandika kama mwenyeji
. kujichanganya ndiyo mpango mzima.
Eti hujakamilisha hata siku una comment nyingi itakuwa wewe mwenyeji

. Sasa nakuwaje mwenyeji na nimejiunga Jana?
Mara sijui like nyingi
ndiyo zangu kwani kuna mtu kaibiwa zake?
Hamjui hata kukaribisha wageni, mnamsimanga mgeni hadi Mtu ukiwa na roho nyepesi unaweza kuleft.

.
Sasa sileft tunabanana hapa hapa.
Haya usiku mwema



. kujichanganya ndiyo mpango mzima.Eti hujakamilisha hata siku una comment nyingi itakuwa wewe mwenyeji


. Sasa nakuwaje mwenyeji na nimejiunga Jana?Mara sijui like nyingi

ndiyo zangu kwani kuna mtu kaibiwa zake?Hamjui hata kukaribisha wageni, mnamsimanga mgeni hadi Mtu ukiwa na roho nyepesi unaweza kuleft.


.Sasa sileft tunabanana hapa hapa.
Haya usiku mwema





