Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,078
- 10,426
Dah.. mbona mnajichanganya nyie, mkulu alikwisha sema uwezo wake wa kulipa, kama unaona haukutoshi basi nenda huko ulimwenguni ukalipwe. Kila mtu ana bei yake isipokuwa mlipaji ndiyo anachagua atakayeweza kumlipa. Mbona sekta binafsi zinalipa, tena zaidi ya hizo 
