Private sector its ok, hapa tunazungumzia mashirika ya umma, huwez demand mshahara kwa kulinganisha private wanalipwaje wakati perfomance yako iko poor, nssf na ppf still huwez sema wanaperform may b kwa kuangalia uwekezaj ambao still ukilinganisha wanachopata na jinsi wanavyo tumia bado xana mkuumashirika makubwa tz kwa rasilimali yanahusisha: NMB, CRDB, NSSF, PPF, Dangote*, Acacia, Tanga Cement, Twiga Cement, SSB, MeTL, IPP, NHC, TIB n.k. embu angalia performance then suggest wakuu wake walipweje!