Huwezi kusoma open univ. ukawa Competent, trust me
Kuna ukweli ndani .....
Huwezi kusoma open univ. ukawa Competent, trust me
ukisoma uchumi utagundua hakuna pesa ndogo wala kubwa and ceteris paribus.
sio kwa nchi masikini kama Tanzania.
Acha ushamba wewe uliza Dr. Pius Ng'wandu LL.B na LL.M yake alisoma chuo kipi na u angalie kazi anazozifanya duniani especially upande wa The Law of the Sea. Competence haitokani na chuo bali ni wewe ulivyojipanga kuwa competent.Unakuta watu wamekaa wanafurahia eti haiwezekani mtu apokee mil.40 halafu mwalimu laki tatu , ukimuuliza huyo mtumishi ametumia gharama gani kupata taaluma yake utakuta kalipa ada mil. Moja na laki tano kwa mwaka mwenzako unayemlalamikia kalipa ada mil.
Hamsini kwa mwaka tena kasoma oxford, havard nk. Vyuo vinavyotambulika ulimwenguni , Popote anaajirika ulimwenguni. Ukimpa organization aiendeshe inakuwa efficiently and effectively. Mtu unamkuta kasoma open univers. Kutwa anasoma past paper hiyo competence ataitoa wapi .
Acheni wivu.
Nimesoma UDSM na pia nimesoma OUT katika fani mbili tofauti. Hapa sio chuo kinachokufanya uwe competent bali ni jinsi ulivyojipanga kuwa competent. Change your mindset and you'll learn the factTusidangane hapa ukisoma open huwezi kuwa competent. Wewe kutwa unasomea mitihani hiyo competent utaitoa wapi.
hahaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaKama wanao uwezo wa kufanyakazi popote mbona mh. Rais amewaambia waende sasa shida ipo eapi?Nakama kigezo nikusoma kwa ada kubwa na sio kiwango cha elimu basi watoto wanaomaliza english medium waajiriwe kwa mshahara mkubwa tofauti na waliosoma shule za kawaida.Hebu fikiria upya
ki ukweli chuo kidetermine competency ya mtuAcha ushamba wewe uliza Dr. Pius Ng'wandu LL.B na LL.M yake alisoma chuo kipi na u angalie kazi anazozifanya duniani especially upande wa The Law of the Sea. Competence haitokani na chuo bali ni wewe ulivyojipanga kuwa competent.
EquityHapa tujadili concepts mbili kuu. 1.) Leadership: je? ni kweli kwamba kama umesoma Harvard, basi wewe unaweza uongozi; kama ukisoma Open University of Dar es salaam (duniani zipo open universities nyingi) au hata University of Dar es Salaam, basi wewe huwezi uongozi. 2.) ni concept ya equity katika payment of benefits ktk organization (chukulia organization ni utumishi wa umma) Je kuna equity kweli kiongozi mmoja wa juu alipwe Tshs 40,000,000/= pm peke yake halafu msaidizi anayemfuata Tshs. 4,000,000/= pm. Hivyo sio suala la wivu, ni suala la kuangalia equity. Vile vile sio suala kwamba kwa vile umesoma katika shule za ghali nje ya nchi basi unafaa kuwa kiongozi. Wengi wa hao wanaolipwa mamilioni "inasemekana" hawana kabisa leadership skills, ingawa ni wazuri sana wa kufanya kazi na media.
Nilipokuwa UDSM nilikuwa naamini hakuna chuo bora zaidi ya pale. Nimesoma OUT kozi ambayo for years tulikuwa tunaamini kuwa UDSM offers the best knowledge of the same. Leo hii ninafanya kazi na graduates wa UDSM wanashindwa kuamini kama kweli nimesoma OUT. But kwa kuwa nilisoma nao UDSM na pia walinishuhudia nikisoma OUT hawana namna zaidi ya kakubali matokeo. You can be competent and effective popote utakaposoma.ki ukweli chuo kidetermine competency ya mtu
Halafu mbona OUT kwenye rank ya vyuo bora TZ iko juuNilipokuwa UDSM nilikuwa naamini hakuna chuo bora zaidi ya pale. Nimesoma OUT kozi ambayo for years tulikuwa tunaamini kuwa UDSM offers the best knowledge of the same. Leo hii ninafanya kazi na graduates wa UDSM wanashindwa kuamini kama kweli nimesoma OUT. But kwa kuwa nilisoma nao UDSM na pia walinishuhudia nikisoma OUT hawana namna zaidi ya kakubali matokeo. You can be competent and effective popote utakaposoma.
Mtu Ana Ph. D unataka alipwe milioni 15 max huu ni ujuha...
Ph mkuuUjaiona hiyo D hapo mbele au ni mihemko mkuu?![]()
Ph mkuu
Sema "hiyo competence" sio competent.Tusidangane hapa ukisoma open huwezi kuwa competent. Wewe kutwa unasomea mitihani hiyo competent utaitoa wapi.
Kushinda mlo mmoja hakusababishwi na hiyo mishahara.TZS 15,000,000.00
-free house
-usafiri
-matibabu
-Posho kiasi
Hataki aende UN akaombe kazi huyo hatufai kuwa mtumishi wa Umma tena kwa nchi ambayo watu wanashindia mlo mmoja kwa siku
Mimi sidanganywi na rank ya chuo. I only focus on my personal performance. Ubora au rank ya chuo doesn't guarantee my achievement. UDSM inatamkwa all the way kuwa ni the best, but tuliosoma pale tunajua kuna degree za chupi na huku makazini tunaona jinsi zinavyofeli. OUT ina vitu ambavyo kwa mtu makini akimaliza pale anakuwa top cream. Pia wanaoamua kusomea mitihani wanatoka wakiwa watupu kama wale wa degrees za chupiHalafu mbona OUT kwenye rank ya vyuo bora TZ iko juu
Magufuli ni manager wa 1000 trillion asset, unafikiri alipwe shs.ngapi. Tuanzie hapohayo mashirika ya umma yaliyopo hapo hayategemei hata cent kutoka serikalini. NSSF ni 2.9 trillion asset fund, PPF ni 2.3 trillion. wana-make hundreds of billions of surpluses every year. hamna tofauti kubwa na benki za NMB na CRDB with assets of 3.1 trillion & 3.6 trillion respectively. mishahara ya wakurugenzi CRBD (kwa mfano) ni mara mbili ya mishahara ya wakurugenzi (NSSF). mkurugenzi wa tawi CRDB analipwa sawa na mkurugenzi mkuu PPF. tatizo watu wanayakuza sana haya mambo tofauti na uhalisia. halafu kwa akili za kawaida, ulitaka 2.9 trillion fund manager alipwe mshahara kiasi gani?
Hii inaonyesha hayuko competent, sasa sijui atasema naye kasoma open..Sema "hiyo competence" sio competent.
Magufuli ni manager wa 1000 trillion asset, unafikiri alipwe shs.ngapi. Tuanzie hapo