kweli kabisa kaka. mtu akiomba ushauri wa kazi mpe au mtu akiomba ushauri wa ujasiriamali mpe.Chaajabu zaidi kinachonifanya mpaka nakerwa na namna ya ushauri huo ni baadhi ya hao wanaotoa ushauri,kwanza wao wenyewe wameajiriwa alafu wanataka wenzao wajiajiri,pili wengine kazi zenyewe wameunganishwa na wajomba zao na tunawajua alafu wanawaona wenzao hawana akili ya kutafuta kazi,lakini pia wao wanafanya kazi za mamilioni ya shs kama mishahara na wathubutu kumwambia au kumshauri mtu afanye kazi zisizo na tija hata kwa ujira mdogo!
.
Kuna huu mfumo umeingia siku hizi wa watu kujifanya wajuaji wa kutoa ushauri kumbe mi kwa upande wangu nawaona wanafki tu.
Eti unamkuta mtu anawashangaa vijana waliomaliza vyuo ktk fani mbalimbali na bado hawana kazi mtaani.kibaya zaidi kinajitokeza pale vijana hao wanapokua wanaomba ushauri kwa watu kuhusu namna gani ya kufanikisha kupata ajira,utaishia kusikia wanashauriwa kwa kukebehiwa na kudharauliwa...mf;kwanini msijiajiri tu,kwanza hata kuandika hujui hiyo interview utaiweza,vijana wa sikuizi mnabagua kazi n.k
Mfano wa maneno yanyotolewa na washauri hasa humu jf si ya busara kwa mtu anae hitaji msaada wa kimawazo au hata kimali.
Chaajabu zaidi kinachonifanya mpaka nakerwa na namna ya ushauri huo ni baadhi ya hao wanaotoa ushauri,kwanza wao wenyewe wameajiriwa alafu wanataka wenzao wajiajiri,pili wengine kazi zenyewe wameunganishwa na wajomba zao na tunawajua alafu wanawaona wenzao hawana akili ya kutafuta kazi,lakini pia wao wanafanya kazi za mamilioni ya shs kama mishahara na wathubutu kumwambia au kumshauri mtu afanye kazi zisizo na tija hata kwa ujira mdogo!
MANTIKI YANGU: ni kua hebu jamani tujifunze kutoa ushauri unaoendana na mashiko na si kuropoka tu kwa kua umepewa kipaji hicho.sidhani kama unaweza ukampa ushaur wa kukitisha tamaa mgonjwa na akapona.
Mwisho kabisa.si lazima ushauri au uandike ktk kila post haikuongezei kitu bali inakubomoa.

wewe ni boya. mu akiomba ushari toa kama unaweza na kama huwez piga kimya.Wewe ndiyo mjinga ambaye unataka watu wafikirie vile ambavyo we unataka wafikirie, jamii bila vichaa, wachawi, washirikina, wanafiki n.k HAIPO...... Zunguka dunia nzima hakuna watu wenye akili moja, lazima mtofautiane kimitazamo.......
Wewe ndiyo mjinga ambaye unataka watu wafikirie vile ambavyo we unataka wafikirie, jamii bila vichaa, wachawi, washirikina, wanafiki n.k HAIPO...... Zunguka dunia nzima hakuna watu wenye akili moja, lazima mtofautiane kimitazamo.......
pole ndg yangu wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima,zidi kuomba kazi watu wasiomhofu Mungu wasikupe mawazo take it as the challenge kwenye msafara wa mamba kenge awakosi,pole si muda mrefu utapata kazi ktk jina la yesu b blessed
Kaka umeandika vema mno, mimi naungana na wewe asilimia zote. Basi kama mtu unataka kuwasaidia vijana kujiajiri basi husiishie tu kusema kwa nini husijiajiri onesha basi angalau mwanga kuwa unaweza ukafanya hivi ukafanya vile. Mtu umeajiriwa, mtu unatumia net ya ofisini, mtu unamtaji lakini wewe mwenyewe hujafanya aina yoyote ya ujasiriamali lakini unaporomosha kejeli kwa graduates. Si vema jamani.
uza laptop au smartphone yako ufuge kuku wa kisasa!Kuna huu mfumo umeingia siku hizi wa watu kujifanya wajuaji wa kutoa ushauri kumbe mi kwa upande wangu nawaona wanafki tu.
Eti unamkuta mtu anawashangaa vijana waliomaliza vyuo ktk fani mbalimbali na bado hawana kazi mtaani.kibaya zaidi kinajitokeza pale vijana hao wanapokua wanaomba ushauri kwa watu kuhusu namna gani ya kufanikisha kupata ajira,utaishia kusikia wanashauriwa kwa kukebehiwa na kudharauliwa...mf;kwanini msijiajiri tu,kwanza hata kuandika hujui hiyo interview utaiweza,vijana wa sikuizi mnabagua kazi n.k
Mfano wa maneno yanyotolewa na washauri hasa humu jf si ya busara kwa mtu anae hitaji msaada wa kimawazo au hata kimali.
Chaajabu zaidi kinachonifanya mpaka nakerwa na namna ya ushauri huo ni baadhi ya hao wanaotoa ushauri,kwanza wao wenyewe wameajiriwa alafu wanataka wenzao wajiajiri,pili wengine kazi zenyewe wameunganishwa na wajomba zao na tunawajua alafu wanawaona wenzao hawana akili ya kutafuta kazi,lakini pia wao wanafanya kazi za mamilioni ya shs kama mishahara na wathubutu kumwambia au kumshauri mtu afanye kazi zisizo na tija hata kwa ujira mdogo!
MANTIKI YANGU: ni kua hebu jamani tujifunze kutoa ushauri unaoendana na mashiko na si kuropoka tu kwa kua umepewa kipaji hicho.sidhani kama unaweza ukampa ushaur wa kukitisha tamaa mgonjwa na akapona.
Mwisho kabisa.si lazima ushauri au uandike ktk kila post haikuongezei kitu bali inakubomoa.
Kuna huu mfumo umeingia siku hizi wa watu kujifanya wajuaji wa kutoa ushauri kumbe mi kwa upande wangu nawaona wanafki tu.
Eti unamkuta mtu anawashangaa vijana waliomaliza vyuo ktk fani mbalimbali na bado hawana kazi mtaani.kibaya zaidi kinajitokeza pale vijana hao wanapokua wanaomba ushauri kwa watu kuhusu namna gani ya kufanikisha kupata ajira,utaishia kusikia wanashauriwa kwa kukebehiwa na kudharauliwa...mf;kwanini msijiajiri tu,kwanza hata kuandika hujui hiyo interview utaiweza,vijana wa sikuizi mnabagua kazi n.k
Mfano wa maneno yanyotolewa na washauri hasa humu jf si ya busara kwa mtu anae hitaji msaada wa kimawazo au hata kimali.
Chaajabu zaidi kinachonifanya mpaka nakerwa na namna ya ushauri huo ni baadhi ya hao wanaotoa ushauri,kwanza wao wenyewe wameajiriwa alafu wanataka wenzao wajiajiri,pili wengine kazi zenyewe wameunganishwa na wajomba zao na tunawajua alafu wanawaona wenzao hawana akili ya kutafuta kazi,lakini pia wao wanafanya kazi za mamilioni ya shs kama mishahara na wathubutu kumwambia au kumshauri mtu afanye kazi zisizo na tija hata kwa ujira mdogo!
MANTIKI YANGU: ni kua hebu jamani tujifunze kutoa ushauri unaoendana na mashiko na si kuropoka tu kwa kua umepewa kipaji hicho.sidhani kama unaweza ukampa ushaur wa kukitisha tamaa mgonjwa na akapona.
Mwisho kabisa.si lazima ushauri au uandike ktk kila post haikuongezei kitu bali inakubomoa.
SLIM SHADE wewe ndio mfano wa watu ninao wazungumzia..tafadhari naomba urekebishe kauli yako yakuniita mjinga!
uza laptop au smartphone yako ufuge kuku wa kisasa!