Acheni tabia ya kuombaomba na kutongoza tongoza

Acheni tabia ya kuombaomba na kutongoza tongoza

Hiyo ni kweli, wanaume ndivyo tulivyo, ukimuona mwanamke amependeza lazima, umtongoze, hii ni nature, mwanamke ameulamba asipotonozwa ataanza kujiuliza sijapendeza nini? Hakuna hata mwanaume ananisemesha, wanamke hana uwezo wa kimtongoza mwanaume, hawa ni wachache Sana. Kwa hiyo wanawake mtuvumilie sisi wanaume.


Kuna kijanaume kimenitongoza kimenikera.
Nusu nimzabue mikofi.
 
Kwa nini huwa mnakuwa wepesi wa kuomba pesa?
Inawezekana unaokutana nao ndio wanakuomba hela bila mpangilio. Naweza nikaomba hela lakini sio kila mara na pia mpk niwe nina shida kweli. kama sina shida itapita hata mwaka sijaomba
 
HABARI WANA JF
UNAKUTA MWANAUME UNAMKE NDANI YA NYUMBA LAKINI TABIA YAKO KILA MWANAMKE AKIPITA MBELE yako unamtongoza je huridhiki na mkeo?
NANYI WANAWAKE WA CHIPS MAYAI tabia zenu mbovu kufuga njaa ya omba omba badala ya kujishughulisha kazi mpate hizo chips mayai badala ya kuwa omba omba/
KAMA LIMEGUSA MWENYE TABIA HIZO MKOMEEEEEEEE..........
wakiona wallet imejaa tayari unakuta **upi imeanza kulowana
 
Hivi kuna wanawake bado wanaomba chips mayai jamani? hao sio wanawake bhana labda watoto wa shule.

Mie nitaomba kuku choma tena wa kienyeji loooh, nije niombe chips mayai ya buku 3 naogopa.
Hahah kweli maisha yako tofauti wewe unaomba kuku ,wenzio wanaomba Lobster
 
Back
Top Bottom