Tumekuwa taifa ambalo mtu anawadanganya watu nakuwa tajiri. Akina mwaka wapo wengi na madhara yao kwa taifa nimakubwa sana. Serikal inasomesha watu more than 5yr kupata good Dk's alafu anakuja mtu hata hana punje ya udaktar anajiita dk natunamuamin! Kama sio tumelogwa basi taifa linashida ya watu wake kupiga madogoli.
W. J. Malecela karibu kwenye mjadala hukuhalafu na yule kubwa jinga anamtetea dk mwaka bila hata chembe ya aibu
W. J. Malecela karibu kwenye mjadala huku
kubwa jinga
Hebu tuendelee na mambo ya msingi Mkuu, achana na hilo dude.W. J. Malecela karibu kwenye mjadala huku
Mbona wengi nchini bafo wanaenda kutibiwa kwa waganga wa jadi na hao waliosoma udaktari wapo.
Muache watu waamue wanataka tiba gani ni miili yao.
mbona wengi nchini bafo wanaenda kutibiwa kwa waganga wa jadi na hao waliosoma udaktari wapo.
Muache watu waamue wanataka tiba gani ni miili yao.