MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Profesa Maji Marefu anashughulikiwa lini?
Profesa Maji Marefu anashughulikiwa lini?
Ndio, Mmoja ni Dr wa bila kusomea na mwingine ni Profesa bila kusoma.Hivi ni kweli kwa akili zako zote maji marefu na Dr Mwaka wanafanana
Ningecomment zaidi ila ID name na Avatar yako ndo vimenizuia
W. J. Malecela karibu kwenye mjadala huku
Hivi ni kweli kwa akili zako zote maji marefu na Dr Mwaka wanafanana
halafu na yule kubwa jinga anamtetea dk mwaka bila hata chembe ya aibu
Kubwa jinga na zoba la kusifia watu bila ya mpangoW. J. Malecela karibu kwenye mjadala huku
Mbona wengi nchini bafo wanaenda kutibiwa kwa waganga wa jadi na hao waliosoma udaktari wapo.
Muache watu waamue wanataka tiba gani ni miili yao.
Profesa Maji Marefu anashughulikiwa lini?
Bado Wengine Wengi Nchi Hii Wanaofanana Na Mwaka. Kila Siku Kwenye TVs Matangazo Ya Kitapeli
Watu type za akina Mwaka wadhibitiwe maana sheria zipo. Ila tiba mbadala ipewe uzito unaostahili. Mitishamba mingi ni mizuri tu
Kubwa jinga na zoba la kusifia watu bila ya mpango