Tumekuwa taifa ambalo mtu anawadanganya watu nakuwa tajiri. Akina mwaka wapo wengi na madhara yao kwa taifa nimakubwa sana. Serikal inasomesha watu more than 5yr kupata good Dk's alafu anakuja mtu hata hana punje ya udaktar anajiita dk natunamuamin! Kama sio tumelogwa basi taifa linashida ya watu wake kupiga madogoli.