Mtu anawadada mia utakuta anakazi ila ratiba yake ni hii hapa.
Ijioni 12 akiwa home anakuja A huyo atapika watakula ataenda atakuja B huyu atakaa ikifika saa sita ataondoka C huyo atalala mpaka jua kuchomoza saa 12 asubuhi.
Na D ni wakazini so lunch wao wapo guest.
After lunch wanarudi kazini mara mteja E atadai wanatoka kumbe wataenda guest tena au kwa E .
F atakuja 12 ijioni halafu ataakaa kidogo saa mbili ataondoka G atakuja watapika atakula ikifika saa 4 ataenda ndio maisha ya Tyson everyday of his life sasa ukimpima utafind nini hivi T kwa wote hao anakumbuka Kinga.??
KWA WADADA
Atleast ukimpata atakayekutuliza unatulia.
Sent using
Jamii Forums mobile app