Inachosha kusikia kila siku "Mabeberu ndio wanatuvuruga," "Mabeberu ndio chanzo cha vita Afrika na Asia." Hivi hamchoki na huu upuuzi? Hamuoni aibu?
Hebu tumia akili yako kidogo (kama unayo):
1️⃣ KWANINI MABEBERU WANALINDA NCHI ZAO? 🛡️
Kama mabeberu ni wabaya sana, mbona kwao hakuna vita? Mbona kwao internet haizimwi kipindi cha uchaguzi? Mbona viongozi wao hawaibi kura na kujipa 98%?
Jibu: Kwa sababu wao wanapenda nchi zao kuliko matumbo yao! Sisi viongozi wetu wanapenda matumbo yao kuliko nchi zao. Mabeberu wameweka mifumo ya kumlinda raia, sisi tumeweka mifumo ya kumlinda "Mungu Mtu" aliyepo madarakani.
2️⃣ MLANGO UNAFUNGULIWA KWA NDANI! 🚪🔓
Beberu hawezi kuingia sebuleni kwako kama hujamfungulia mlango.
· Nani anasaini mikataba ya kinyonyaji gizani? Mabeberu au viongozi wenu mnaowasujudu?
· Nani anapokea hongo ili auze bandari na migodi? Mabeberu au ndugu zenu viongozi?
Mabeberu ni wafanyabiashara; ukijifanya mjinga, watakuuzia hata hewa unayovuta! 💨
3️⃣ UJINGA WA KUUA NDUGU YAKO 🤯🔪
Eti beberu amekupa silaha ukamuue ndugu yako kisa dini au chama, na wewe unakubali? Halafu unasema "Beberu mbaya." Hapana, WEWE NDIO MJINGA! Huwezi kuitwa binadamu mwenye akili kama unaruhusu mtu wa nje akushawishi umwage damu ya jirani yako aliyekua na wewe.
4️⃣ KISINGIZIO CHA "TAARIFA POTOFU" 📵🤥
Leo Uganda wanazima internet, jana ilikuwa Bongo, kule Iran ni kawaida. Mnasema mnazuia mabeberu wasituvuruge? Uongo! Mnazima internet kwa sababu mnaogopa WANANCHI WAKIPATA UKWELI, viti vyenu vitatikisika. Mabeberu hawaandamani mitaani kwenu, ni watu wenye njaa na hasira ndio wanaandamana!
🔥 UKWELI NI HUU:
Afrika na nchi za kipuuzi za Asia hatuna tatizo la mabeberu; tuna tatizo la UPUMBAVU WA NDANI. Tuna viongozi wajinga na wananchi mazuzu wanaoshangilia uonevu kisa wamepewa pilau au kofia.
Acheni kulalamika! Mabeberu hawatakuja kutujengea nchi zetu. Kama tukiacha ufala, tukaacha chuki za udini, na tukaacha kumuona kiongozi kama Mungu, mabeberu watatugwaya.
⚠️ USIPIGE KELELE KUHUSU ADUI WA NJE, WAKATI ADUI WA KWELI AMEVAA SUTI NA ANASAINI MIKATABA IKULU! 👔📜