Baadae sana akakazia kwa kusemaHapa utaambulia ushauri tu,ukihitaji msaada wa kifedha.Hii line aliipiga mbongofleva mmoja nimemsahau jina.
Sioni kama kuna haja ya kushinda nao mkuu, mda mwingine ukiona mtu ni mpumbavu mpe ubingwa tuKuna majitu majinga sana humu, hayana maisha, hayana elimu, hayana kazi zinazo eleweka, sasa yameona yaje na mbinu za upuuzi kuchafua watu