Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,739
- 102,557
Halafu,aulizwe kwa nini hapendi U- hutu wake?Wakome kabisa kukemea "serekale" yenu. Huu mwandiko kama wa "kihutu" vile. Samahani lakini.
Halafu,aulizwe kwa nini hapendi U- hutu wake?Wakome kabisa kukemea "serekale" yenu. Huu mwandiko kama wa "kihutu" vile. Samahani lakini.
Hahaha, Mkuu hili jiwe ni jiwe haswaaaaa
halitikisiki wala kubabaika.
Dadeeeeeeki
Ningekushauri ukague vizuri sehemu zako za siri kuna uvundo mkali sana unatoka huko na harufu yake sio ya kawaida nilitamani kukwambia live lakini nimekustahi nadhani hii yaweza kuwa njia njema zaidi ya kuwasilisha ujumbe wangu kwako Mkuu.Weye naye si kwamba una frustration tu bali hata hallucinations unazo.Sasa,unatetea ujinga ili iweje?He,unawashwa au umetekenywa?Tulia ukweli udhihirike.Muhutu weye!
Unaeanguka wewe mpiga tumba,watu wanaendesha serikali na mambo yanaenda utakuja kustuka 2020 hii sijui napo utasemaje,kikwete mlikuwa mnapiga kelele chama kunamfia ajabu kanyonga ten yr na mambo yalienda na mnamkumbuka[emoji16][emoji16][emoji16]Hata useme nini hiki ni kipindi cha uongozi wa hovyo kuwahi kutokea TZ Purchasing power ya wananchi imepungua sana hivyo basi usitarajie maendeleo kuwepo sababu hakutakuwa na investment za kutosha kuinua hali ya uchumi wetu.Acha unazi nchi inaanguka.
Mkuu wangu,hata binadamu aoge vipi,hawezi kuacha kunuka.Kama hauamini,nenda chooni uchuchumae.Asante mkuu wangu.Ningekushauri ukague vizuri sehemu zako za siri kuna uvundo mkali sana unatoka huko na harufu yake sio ya kawaida nilitamani kukwambia live lakini nimekustahi nadhani hii yaweza kuwa njia njema zaidi ya kuwasilisha ujumbe wangu kwako Mkuu.
Hiyo live ulikuwa unaonesha nini?
jamaa kazi kuuza sura tu hakuna hata hoja ya maana.
kila kitu cha ovyo kilichopo kimepita bungeni, tena likiwa live kabisa. Bora waanze kupitisha gizani tuonage tu yapo
Mazungumzo baada ya khabari.Kiutani utani tu ila ujumbe unafika.Hiki nini tena???
Magufuli sio malaika lkn nikiongozi Wa malaika mbinguni[emoji1] [emoji1]Naunga mkono hoja,
Japo kuna mengine ni kweli na kunamengine, wanamuonea. Rais Magufuli sio malaika, ila pia sio mtakatifu.
Kuna vitu vingine, wanamuonea huu, ila sio wote, wengine kwenye mazuri, wanapongeza, kama mimi, uwanja wa Chato, naunga mkono
Naunga Mkono Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika!
P
Ahsante kwa kunijibu mkuu.!Mkuu wangu,hata binadamu aoge vipi,hawezi kuacha kunuka.Kama hauamini,nenda chooni uchuchumae.Asante mkuu wangu.
Shetani ni nani?..........Sasa kuna hawa wanaojifanya wanasali!
Wameshindwa kumkemea shetani wao huko, wanakuja kukemea serekale yetu
Wakomeeeeeee
Mkuu wangu,huwa tunaghafirika tu.Maanani atuongoze,Inshaallah!Nipo mwepesi ajabu.Tutofautiane tu ila tusikwame sehemu.Asante sana mkuu.Ahsante kwa kunijibu mkuu.!
kwanza nikuombe radhi ile post niliyotoa kukujibu imeniumiza sana ndani yangu dhamira yangu imenitesa sana!
sio mtu wa kariba ya kutoa lugha chafu sikujui hunijui tumekutana humu na yunatofautiana mitazamo nikiri kuwa nimetumia lugha mbaya kukujibu
Naomba msamaha kwa hilo niwie radhi.
Mwisho jibu lako limenipa ahueni na naona sasa niko salama kihisia.
nikutakie siku njema na kazi njema mkuu.
Tunatofautiana mitazamo lakini sikuwa na haki ya kukutolea maneno ya kuudhi ama kukera.