Acheni kumtetea Mbowe na tuhuma za ufisadi wake, kila mtu abebe msalaba wake!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Wapinzani watu waajabu sana!

Hudai wana malengo mazuri na sisi ya kufuta ufisadi kwenye ramani yetu. Hata tuhuma za ufisadi wake hawajazijua wameanza kumtetea bila kusema anatuhumiwa nini? Hii inatisha kwa wote tunaoitakia nchi yetu amani.

Huyu Mbowe ni mlafi wa madaraka wa kupitilizia huku akidai serikalini Rais apunguziwe madaraka lakini kwenye chama chake kajilimbikizia madaraka hata kuondoa ukomo wa madaraka ya uongozi.

Hivi fisadi huyu akipewa nchi la kwanza si ni kufuta vifungu vyote vya Katiba vya ukomo wa urais atawale milele?

Maandiko yanatuasa yule ambaye siyo mwaminifu kwa madogo hata makubwa siyo mwaminifu.

Watetezi wa ufisadi wa Mbowe mnapomtetea basi muwe mnatetea na tuhuma zinazomkabili kama mnazijua kama hamzijui fungeni mabakuli yenu subirini akaangwe.

Huwezi ukavaa joho la kupambana na ufisadi wakati wewe mwenyewe ni teja wa ufisadi.

Udhaifu wako maadui zako watautumia kukumaliza kisiasa. Na kwanini wakuache wakati wewe ni mnafiki?

Takukuru kazeni buti mpaka kieleweke na haswa tuhuma za wizi na ubadhirifu wa ruzuku ya serikali na michango ya wabunge wa CHADEMA pamoja na ile billion ya kuchimba visima waliyopewa na Sabodo waliifanyia nini?
 
Polepole: CCM kuna majizi makubwa kila nikitaka kiwataja wakubwa wananizuia, swali hao wakubwa ni nani zaidi ya m/kiti. Ukiwa ccm hukamatiki? - JamiiForums

Wapinzani watu waajabu sana!

Hudai wana malengo mazuri na sisi ya kufuta ufisadi kwenye ramani yetu
Hata tuhuma za ufisadi wake hawajazijua wameanza kumtetea bila kusema anatuhumiwa nini?
Hii inatisha kwa wote tunaoitakia nchi yetu amani.

Huyu Mbowe ni mlafi wa madaraka wa kupitilizia huku akidai serikalini Rais apunguziwe madaraka lakini kwenye chama chake kajilimbikizia madaraka hata kuondoa ukomo wa madaraka ya uongozi.

Hivi fisadi huyu akipewa nchi la kwanza si ni kufuta vifungu vyote vya Katiba vya ukomo wa urais atawale milele?

Maandiko yanatuasa yule ambaye siyo mwaminifu kwa madogo hata makubwa siyo mwaminifu.

Watetezi wa ufisadi wa Mbowe mnapomtetea basi muwe mnatetea na tuhuma zinazomkabili kama mnazijua kama hamzijui fungeni mabakuli yenu subirini akaangwe

Huwezi ukavaa joho la kupambana na ufisadi wakati wewe mwenyewe ni teja wa ufisadi

Udhaifu wako maadui zako watautumia kukumaliza kisiasa

Na kwanini wakuache wakati wewe ni mnafiki?

Takukuru kazeni buti mpaka kieleweke na haswa tuhuma za wizi na ubadhirifu wa ruzuku ya serikali na michango ya wabunge wa CHADEMA pamoja na ile billion ya kuchimba visima waliyopewa na Sabodo waliifanyia nini?
 
Watz tafuteni hela la sivyo mtakaa kutoa lawama kwa Wanasiasa kila siku hata Mbowe utajiri kaupata bila kulalamika Bali kwa juhudi zake, sasa nyie maisha yamekuwa magumu mnakaa kumlalamikia Mbowe..Idiot
 
To be precise 2.7 trillions. Hivi mtu anayejiita mzalendo na mpambanaji na UFISADI anakaaje kimya pale CAGs wanapoandika kwamba 2.7 trillions hazijulikani zilipo lakini wakati huo huo ANAAMRISHA Takukuru wafanye uchunguzi kuhusu bilioni 8!? Haingii AKILINI hata chembe!

Vipi kuhusu Mzee wa chato na upotevu wa matrillion
Vipi kuhusu Mzee wa chato na upotevu wa matrillion
 
Back
Top Bottom