KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,109
Asali wa moyo, nikusahau tena..siwezi, ni huyu romantic eyes anapenda kunitega sana!!!
Mhhh! Na ww ukategeka kabisaaa?????
Last edited by a moderator:
Asali wa moyo, nikusahau tena..siwezi, ni huyu romantic eyes anapenda kunitega sana!!!
Asali wa moyo, nikusahau tena..siwezi, ni huyu romantic eyes anapenda kunitega sana!!!
Mhhh! Na ww ukategeka kabisaaa?????
Mhhh! Na ww ukategeka kabisaaa?????
amejitega mwenyewe huyo eti kasema yuko single kabisaaaaa huyu usimsamehe kirahisi aisee hawezi kukukana hadharani namna hii
...umeniacha mda mrefu, hadi damu yaenda kasi..
romantic eyes unaona ulipoifikisha ndoa yangu?? You're to blame..!!Mbona mm nimevumiliaa. So umempenda sana romantic eye? Na unadhani utakuwa na furaha zaidi ukiwa naye? Napenda kukuona ukiwa name furaha. Km furaha yako iko wake. It is OK with me
Mbona mm nimevumiliaa. So umempenda sana romantic eye? Na unadhani utakuwa na furaha zaidi ukiwa naye? Napenda kukuona ukiwa name furaha. Km furaha yako iko wake. It is OK with me
romantic eyes unaona ulipoifikisha ndoa yangu?? You're to blame..!!
Aaah huu moyo huu natamani ningekuwa nao na mimi
me!!!! to blame??? wewe ushalikoroga hapo hebu tetea ndoa yako hiyoromantic eyes unaona ulipoifikisha ndoa yangu?? You're to blame..!!
When you love, you let it go for the happiness of the one you love.
Please take care of Eli79. He loves you!
Mapenz haya ni kuachia tu kama huoni uelekeo
Sinaga mda wa kung' ania penz hicho kipaj Sina
Aaah huu moyo huu natamani ningekuwa nao na mimi
mmmmmh... sina uhakika na hili, ukiwa na upendo wa agape huwezi kuachia ngazi kirahisi!
..tatizo siku hizi vijana mnapenda kimachale zaidi..
Hayo mapenz ya agape karne hii
Labda kama moyo wako na akili yako ipo kwangu nijue uniwazialo
Kupenda kwa sasa mkao wa chura