Lakin roho waga inauma chezea kuachwa
kuachwa na kuacha ni kawaida na hakujaanza leo
Kama uliachwa utaratibu unajipanga vp?
Hujapata bado?...mm natafuta watu walioachwa kama ww
umepata mwingine?..i wanna join the race!!
nipe historia ya kuacha na kuachwa kwa ufupi
kwanini utafute walioachwa?
Ndio tunaanza upya vizuri
watu wanaachwa kila siku hata huko unapokaa wapo walioachwa, chagua huko huko
endelea na huyo uliyenae, am sure anakufaa sana
Mmmmh my daughter pole mama...achana na hiyo mijanaume mama yako nipo ntakupa moral support ya kutosha