Kwan we ujaniacha mpenz
Usijali wii..mimi na kaka yako tupo kwaajili yako
Mmmmh my daughter pole mama...achana na hiyo mijanaume mama yako nipo ntakupa moral support ya kutosha
aah basi utafute ambaye hajaachwa hivi karibunisina mkuu..am single ..!!
ni kama vile kumuacha mmtu ni dhambi......as if ujilazimishe kuwa na mtu hata kama feelings hakuna since 'kumuacha' ni dhambi
hakuna dhambi yoyote katika kuacha au kuachwa
ndo maana nashauri wenzangu na mimi tuache kulalamika na kulaumu, tuheshimu maamuzi ya wenzetu hata kama yataumiza.
ukiweza hayo good for you
hakuna dhambi yoyote katika kuacha au kuachwa
ndo maana nashauri wenzangu na mimi tuache kulalamika na kulaumu, tuheshimu maamuzi ya wenzetu hata kama yataumiza.
mfano akikupa mimba then akakukataa nako hakuna dhambi??
Mimi nakupa pumziko la moyo romantic eyes.
Kumbe???!!!!
OMG!! Umepitaje huku lovie??
OMG!! Umepitaje huku lovie??
Roho inaniumaaa. Yani kusafiri kidogo tuu ushanisahauuu
teh teh teh...sio unamuuliza kapitaje ndo ashapita sasa uombe radhi tu hahahaaaaa