acheni kujidai

tena wewe BADILI TABIA nasikia ni mdokozi wa chenchi,unakimbiza wateja ujue.
 
Last edited by a moderator:
Muulize Bishanga, alikuja kupima Ukimwi kisha akakimbia majibu..
Ndiyo niko kwenye mchakato wa kuanzisha thread yenye majibu yake soon...
i will sue you so hard you will sell your kiamba!
 
Hivi hajui kama wewe ni Managing Director wa NS company ltd

nitonye sweetlady company ltd ? msajili wa makampuni kanambia kuna kampuni nyingine imesajiliwa kwa jina la vds company ltd ,waijua weye?
 
Last edited by a moderator:
nitonye sweetlady company ltd ? msajili wa makampuni kanambia kuna kampuni nyingine imesajiliwa kwa jina la vds company ltd ,waijua weye?

Hiyo imefilisika baada ya sweetylady kuuza hisa zake zote maana alikuwa na asilimia 80 ya hisa zote
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…