achana naye hana sera huyo! au anadhani hatujui kuwa ye ndiye mchora tattoo maarufu pale kinondoni! atafutwa kwa sana na RPC!Bishanga umenifanya nionekane kituko mbele za watu maana hapa mbavu sina
We bepari wapi wakati ulikuja kuchukua mkopo juzi kati hapa ofcn kwangu
kwi kwi kwi! Uzushijeeeeee???leo katumbukiza jukwaa la wakubwa
hivi kumbe hasira za kupigwa chini na cacico hazijesha?
x wangu! U hali gani??ndio nakumalizia zote wewe.
safi sana!! ntakuongeza mshahara kwa kutii amri!!rabecca maulana,nimekusikia!
wanaokimbia majibu kama bishanga unawafanyaje?
Sijui ni hospitali hipi hiyo wana pima ukimwi mkuu, sijawai kuiona chini ya jua!
x wangu! U hali gani??