Bishanga nakufungulia kesi ya Defamation...... Umenidhalilisha sana, yaani mimi ni karani, kweli kabisa unanishusha hadhi kiasi hicho....!
halafu nasikia umekwaa matawi juzi,mwanzo eti ulikuwa unabeba mafaili kwa advocate ruttashobolwaBishanga nakufungulia kesi ya Defamation...... Umenidhalilisha sana, yaani mimi ni karani, kweli kabisa unanishusha hadhi kiasi hicho....!
don't say i did not warn you,ushauri wa bure jifute uanachama chichat kabla hajaamka,akifungua macho tu namwonyesha hii post.lol na The secretary nasikia ndio mwenye danguro la pale wazo hill!
hizi ni dalili za wazi za matamanio ya .cacico kungononeka na mzee mzima baba Cantalisiababu Mtambuzi mi miss story zako za kila ijumaa, cant wait!
kesho nakuja na bibi yangu,ila ole wake mkware yeyote amrushie neno.
kwa nini unatoa nje siri za vikao? Utakula bani ujue?
umeweka jukwaa gani?? sijaona, nimetafutaje thatha?? kuhusu kijiwe chetu, lazmaaaaaa nitie maguu!
bisho ntongo Madam B,Hahahahahaha nagaulila
Mleke mkazi wange ali mulungi muno na yela muno. Amaisho otagamba.
mara ya mwisho kwenda kuomba ni lini?? funga mara moja moja utapunguza mawazo machafu ya ibilisi juu ya wenzio!hizi ni dalili za wazi za matamanio ya .cacico kungononeka na mzee mzima baba Cantalisia
mmhhhh mbuzi yake kamba tu! mnyororo wa mbwa sheikh!don't say i did not warn you,ushauri wa bure jifute uanachama chichat kabla hajaamka,akifungua macho tu namwonyesha hii post.