Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,884
- 1,200
Siyo mbio tu, bali pia uwe umevalia bullet proof tayari kujikinga na risasi za smgnatamani sana ila inatakiwa uwe na mbio
Siyo mbio tu, bali pia uwe umevalia bullet proof tayari kujikinga na risasi za smgnatamani sana ila inatakiwa uwe na mbio
chadema haichukikiki
View attachment 98623
sawa tomaso,Hii picha imechukuliwa Afrika Kusini kwenye maandamano ya wafanyakazi. Acheni kufanya kila mtu humu JF ni zuzu nyie mapimbi.
natamani sana ila inatakiwa uwe na mbio
...aaahh hilo tu...? wapo vijana well trained watakupa miongozo yooote, we hujiulizi lema na Mbowe walitoweka vipi mbele ya msitu wa askari na wanajeshi...
ya arusha mnayaweza wenyewe jamani, ila sasa nendeni taratibu
hata sie wa huku mnatupa woga mjue.
Ukiangalia picha kama hizi zinavyoonyesha mshikamano wa hali ya juu wa Wana Arusha pamoja na udhalimu wa kila aina wanaofanyiwa na Serikali dhalimu hadi mwili unasisimka.
...hahahaaaahhh ! chadema wako juu,kumbe walifanikiwa kukusanya mtiti woote huu huko south au hao wasauth wanapiga gwanda na kofia za chadem siku hizi...Hii picha imechukuliwa Afrika Kusini kwenye maandamano ya wafanyakazi. Acheni kufanya kila mtu humu JF ni zuzu nyie mapimbi.
Wamijini tu hao na wengi ni bendera fata upepo nyimbo za ccm tu zikinguruma hapo wanapagawa na kura zote zinaenda hukoHuwezi zuia mabadiliko kwa mabomu.watu wamefikia wameamua yatosha.
...usiogope, ingawa wameapa kutupiga na kutuua,hatutaacha kusonga mbele kwa maslahi ya vizazi vijavyo. leo tukisita watazidi kujijengea uzio na mgandamizo mkubwa kwa watoto wetu...