Achana na Marafiki wenye Njaa

Achana na Marafiki wenye Njaa

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,563
Reaction score
7,321
Njaa ninayoizungumzia hapa ni Tamaa, sio Njaa ya chakula.... Njaa ndio inawafanya hao unaowaita marafiki zako wawe wanafiki kwako, njaa ndio inaowafanya hao uwapendao wakusaliti na matatizo yako au shida zako wazigeuze fursa kwao. Kwa sababu ya pesa wauze utu wako, na wakudharirishe badala ya kukustiri kwenye shida. Chagua marafiki ambao hawana njaa ndio kuwa karibu nao. Njaa ya vitu vidogo vidogo inapelekea wanakuuza kwa kutoa siri zako, au kuanika matatizo yako popote pale kwenye fursa. Marafiki wanaokupenda tu ukiwa nacho, ukiwa na shida hawawezi kukusitiri au kukuinua. Achana na hao marafiki, narudia tena achana na hao marafiki mara moja.
 
rafiki mnafiki
 
Rafiki wa hivyo hashindwi kukuwekea sumu!
 
Back
Top Bottom