The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,613 Mar 23, 2013 #21 Arsenal said: poa kuna number ntakupa ya fundi yeye atakusaidia katika kila kitu ila initial investment ni kubwa kidogo but after that unateleza... Click to expand... ok naiomba hiyo no please
Arsenal said: poa kuna number ntakupa ya fundi yeye atakusaidia katika kila kitu ila initial investment ni kubwa kidogo but after that unateleza... Click to expand... ok naiomba hiyo no please
T Tillya Edwin Member Joined Mar 2, 2019 Posts 9 Reaction score 0 Mar 6, 2019 #22 Habari wana jamii forum msaada kwenu dish langu linaandika no channel no data available dish kubwa receiver mediacom 930 Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana jamii forum msaada kwenu dish langu linaandika no channel no data available dish kubwa receiver mediacom 930 Sent using Jamii Forums mobile app
E ever dad JF-Expert Member Joined Nov 17, 2016 Posts 302 Reaction score 226 Mar 6, 2019 #23 Tillya Edwin said: Habari wana jamii forum msaada kwenu dish langu linaandika no channel no data available dish kubwa receiver mediacom 930 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Uelekeo gani umefunga km ni 64.5°E TBC wame upgrade receiver iwe na uwezo wa 4k ndo unaweza kuwapata Sent using Jamii Forums mobile app
Tillya Edwin said: Habari wana jamii forum msaada kwenu dish langu linaandika no channel no data available dish kubwa receiver mediacom 930 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Uelekeo gani umefunga km ni 64.5°E TBC wame upgrade receiver iwe na uwezo wa 4k ndo unaweza kuwapata Sent using Jamii Forums mobile app
T Tillya Edwin Member Joined Mar 2, 2019 Posts 9 Reaction score 0 Mar 6, 2019 #24 sina channel hata moja nilizifuta bahati mbaya nitazirudishaje? mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
sina channel hata moja nilizifuta bahati mbaya nitazirudishaje? mkuu Sent using Jamii Forums mobile app