ndaga boy mtemi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 589
- 208
Msala kwa mm upo kwenye kulipia tu mkuu
Bila shaka unazungumzia kulipia app playstore.Msala kwa mm upo kwenye kulipia tu mkuu
Kitu Clear Scanner sijawahi kujuta kuifahamu!Sumsang Mobile Print, ni app yenye scanner matata! Hata kama document imekaa tenge na wewe mpiga picha umekaa kimshazali bado utaweza kuscan documents kwa kiwango kikubwa!