Mkuu mshana jr hao vijizi wadogo wadogo sio wa kulaumu sana Bali huu mfumo ndio unao dhalisha wezi.
Majuzi nilipita kwenye ka workshop ka vijana ambapo napita Mara nyingi wananifanyia kazi zangu za welding nikihitaji nikawakuta wanaota jua na wakaniambia,
"Mzee Chakaza sasa sisi hapa tumejiajiri tunapata Pesa kidogo tunajikimu na familia zetu,sasa ni wiki ya tatu Umeme hakuna wanakata asubuhi wanarudisha SAA mbili usiku. Tutakula wapi na wenetu? Jee tukija kukuibia kwako ili watoto wakale utatulaunu?" Nilikosa jibu.
Mfumo wa serikali hii wa kudharau mambo ndio unadhalisha mambo ya hovyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.