Acha tu niseme: Nyie ndugu zangu mna mambo ya hovyo sana. Nadhani hamtonisahau kwa hii Leo

Oneshaneni makali tu na taratibu mtaelewana ( in dr shika voice )
 
Anayecheka mwisho ndio kacheka.. Vipi mkuu, hawakuleta zile hasira zao za ajabu ajabu.???
 
Kwa moto huu bila shaka wewe ni mmoja wao acheni na badilikeni.

Kama ramazan iliyopita majuzi hapa kipindi kile mvua imenyesha kubwa Jangwani bridge imefungwa katika mtaa huo nilioutaja hapo juu Narung'ombe na Bonde pale masjid idrisa ule muda wa kula jioni mkafunga mtaa katikati ya barabara mmekaa mnakula wakati mkijua wazi gari zote zilikimbilia vichochoroni ili zikatembee na Uhuru road.

Yaani gari zimebanana pale na nyie kabisa mmejenga na miamvuli katikati ya barabara mnakula huku watu wamefura kwa hasira hamjali mko “nyam nyam nyam” halafu mnasema ibada.nchi hii hata kama tuna uhuru wa kuabudu ule siyo uhuru ni ulimbukeni,as a human being siwezi fanya ujinga ule mimi hata kama nina uhuru kiasi gani uso umeumbwa na aibu kuna vitu kama binadam ukivifanya hata nafsi yako mwenyewe inakusuta.
Hahahaaa mkuu mbona 'nyam''nyam''nyam'
 
Mijamaa inaudhi na dini yao ya kinafiki. Eti wao wanakua watakatifu kwenye mfungo
 
CRDB kibaha ilikuwaga kwenye jengo la Njuweni hotel kabla hawajajenga jengo lao

sasa maeneo hayo kuna shughuli nyingi zinafanyika moja wapo kuna Hair cutin saloon

kuna siku mchana mida ya saa sita nimeenda kunyoa kwa sababu saloon na hiyo bank vyote vipo eneo la Njuweni basi parkin tunashare

inafika saa saba na nusu hivi nataka kusepa nakuta kuna Altezza imeniblock siwezi kutoka

nikauliza nikaambiwa ni ya jamaa wa crdb (namfahamu) kwa sura nikatuma mhudumu wa bank akamuite akagoma kutoka akasema yupo busy hawezi acha kazi aje kutoa gari

nikawa mpole nikachukua bodaboda hadi home...saa moja nusu jioni nikarudi kuchukua usafiri wangu

kuna siku naenda town siendi na gari so gari napaki hapo njuweni ile kufika mida ya saa tatu asubuhi nataka kupaki sinikaiona ile Atezza tena imekaa utamu kweli kuiblock maana hakupaki maeneo ya wateja wa bank aliiweka kwa pemben ambapo mtu ukipaki kwenye wateja wa bank unaiblock

nikasema yeeeees nikaenda nikapack nyuma yake alafu nikazuga kama nimeengia bank alafu nikatoka nikasepa

narudi kuchukua gari saa tatu usiku nakutana na lawama za wakinzi kuwa jamaa katukana sanaa alivyotoka job ikabidi achukue bodaboda aende kwake

Hahahahahahahaha safiii unyama unyamabi
 
Ningewachakaza vibaya maana nlikuwa nshawaweka sawa jamaa zangu wa kitaa hao nliwapa 25000 walinde mali yangu na walikuwa standby kuwa bro kama vipi tulianzishe tu....mimi ndo nliwatuliza kuwa twendelee na keusi keusi mpaka katakapokuja kekundu kekundu.... Na wao walikuwa wakinicheck wanaona jamaa mwenyewe kauzu ile kinyama.

Anayecheka mwisho ndio kacheka.. Vipi mkuu, hawakuleta zile hasira zao za ajabu ajabu.???
 
Kariakoo ndiyo vurugu pote pale,ukitoka Fire ukasema ushuke na Sikukuu Str katikati ya huu mtaa na Twiga Str unakuta wamefunga mtaa,ukiwakwepa ukasema uingilie chochoroni ukatokee Nyamwezi Str ukifika katikati ya huu mtaa na Amani Str unakuta napo wamefunga,hapo bado hujakasirika vizuri.

Ukisema aah acha watu wamuabudu Mungu wao ngoja nikaitafute Jangwani Street nishuke nayo nikatokee Mafia Str niingie na Bonde Str nikaikamate Narung’ombe Str niendelee na yangu katikati hapo napo unawakuta watu wamefunga barabara tena kushoto kisha tena mita kama 15 mbele wamefunga na kulia aisee utatamani kama uwagonge hivi!!!

Siku hiyo nipo na jamaa yangu Mkenya hadi nikajisikia aibu,maana anataka kuwahi mishe zake then akakutana na huu ujinga aloo nchi yote tukaonekana hatuna akili.
YaAn jamaa wale bhana karah wew sali mpaka ufungie Barbara wengine ,
 
Back
Top Bottom