FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,822
- 109,109
Mbona ipo miskiti mingi sana ya ghorofa.Mkuu hivi hairuhusiwi kujenga misikiti ya ghorofa kama Mahekalu ya wagalatia?!
Sijawahi kuyaona hayo "mahekalu ya Wagalatia".

wenye navyo hata hawasemi neno. ukikutana naye mtaani waweza kuacha hata kumsalima ukimuona wa kaliba ya chini kumbe akaunti yake benki inapumua kwa shida.@RobertSendabishaka,
kumbe nawe umeona,huyu ni kati ya wale wa wabushi kapata kacheo kule ccbrt wakampa cruiser ya kutembelea wamama wa fistula,sasa zile posho za safari tayari makalio yanalia mbwata anajiona yeye ndo yrye,
tatizo kubwa lake kubwa ni makuzi,yaani upbringing ya hawa wenzetu ina mshkeli,
akipata vihela kidogo tu anaona kila mtu wa nini yeye ndo yuko juu,
hii sio ishu ya kuanzishia uzi unless labda awe alikuwa anatafuta maneno watu
Hii ya kuswalia barabarani ni sahihi mkuu!Mbona ipo miskiti mingi sana ya ghorofa.
Sijawahi kuyaona hayo "mahekalu ya Wagalatia".
Wewe wakuja unifundishe mimi Dar.?usitake ncheke. Wewe ndiyo wale hata central police wanapaita posta.wewe kuna msikiti posta round about! wewe! uliza sio posta ndio maofisini kwetu!
Nimejibu juu huko. Pitia uzi vizuri.Hii ya kuswalia barabarani ni sahihi mkuu!
OK ngoja nimuulize alhaji Pohamba aweza kunijibu kwa wepesi zaidi!Nimejibu juu huko. Pitia uzi vizuri.
Ila mama kuna mambo inabidi tuyapeleke kiweledi na hekma kama uislam unavyotaka, maana haya mengine ni mazoea yetu tu kibinadam na anaaniyya/umimi wala si hekma ya dini. Hii italeta sura halisi ya uislam, kuwavuta na kuwakosesha hoja za kipuuzi pity pity zinazosababishwa tu na waumin naively na wala si fiqhi ya dini. Itawavutia na kuwafilisi hoja angalu zibakie zile tu hoja zao za 'miaka nenda rudi' za Isa si Yesu huku wakipata uongofu makundi kwa makundi siku hadi siku.
sidhani kama hii nchi itapiga hatua,yaani unapoteza mda wote huu kuandika huu uzi haueleweki
kumbe hizi id hazibuniwi kibahati bahati!
yaani 25,000+ waoshaji+ muda wako+kushushwa heshima (kuitwa mvuta bangi, kuonekana mkorofi mbele ya mjumbe+arubadili ijayo+psychological damage
vyote hivyo vilitumika kugharamia huo mzozo tu na leo unajiona mshindi!!
View attachment 1188322
Naelewa, nakuelewa Faiza Fox, wewe ni mtu wa kupanic, japo kuwa haiwezi badilisha kitu, na ndio maana mtabakia nyuma kilasiku, kwakuwa mnadefend ujinga! sisi sote tunajua, nyie watu mnatatizo la kujiongeza!. japo kuwa siwezi kukulaumu kwa kuwa haiwezekani ngedere kumtetea mkulima.1) La kwanza pitia uzi huu utapata majibu murua kabisa.
2) Tazama list ya matajiri 10 wakuu Tanzania ukimaliza njoo uwataje.
3) Ulitaka wawatoe misukule kama kule kwenu?
4) Waislam tunaanza chuo tukiwa na miaka mitatu tu. Kwa watu kama wewe hata umalize vyuo vya dunia bado huelimiki. Ungekuwa na elimu japo kiduchu usingeuliza kijinga kama ufanyavyo. Lakini tutakupa darsa, ndiyo wajib wetu.
5) Kwa sasa sitaki kukuwekea listi ya majina na wanayoyafanya kwani nitakuwa poyoyo kama wewe lakini ukiendeleza upoyoyo wako nitakuwekea. Isipokuwa ntakuuliza tu. Wapi Uislam umefundisha ujambazi?
6) Sidhani kama watajitokeza mapoyoyo wengine qa kiwango chako. Saa hizi wanakuponda tu.
wewe kwakujidai unajua kilakitu! hivi ndio wewe pichani hapo?????????????????????Wewe wakuja unifundishe mimi Dar.?usitake ncheke. Wewe ndiyo wale hata central police wanapaita posta.
Achana na mimi jibu hoja. Ningetaka kujulikana nigekuwa "verified member".wewe kwakujidai unajua kilakitu! hivi ndio wewe pichani hapo?????????????????????
Hoja zimekushinda unaanza viroja.Naelewa, nakuelewa Faiza Fox, wewe ni mtu wa kupanic, japo kuwa haiwezi badilisha kitu, na ndio maana mtabakia nyuma kilasiku, kwakuwa mnadefend ujinga! sisi sote tunajua, nyie watu mnatatizo la kujiongeza!. japo kuwa siwezi kukulaumu kwa kuwa haiwezekani ngedere kumtetea mkulima.
Wakati unacheka hukujjamba?Nimejikuta nacheka tu
Sawa ma mkubwa! Japo nili'exclude adhana, swala ya Ijumaa na idd kwenye hoja zangu.Hujachambwa umepewa darsa unaona umechambwa. Jee ukichambwa si itakuwa mwao. Makubwa!
Sipo hapa kutazama wewe Muislam au siyo Muislam, hapa nakupa darsa uwe usiwe Muislam, kwangu hainizidishii wala hainipunguzii. Kumbuka hilo.
Kuhusu Adhan au Qur'an kusomwa kwa sauti nayo pia huelewi impact yake. Ungeelewa usingebwabwaja hovyo. Utapopenda kujuwa nijulishe nitakujulisha.
Kuna sheria ya makelele huifahamu? Nenda kapeleke malalamiko sehemu husika unapoona kuna kelele hatua zitachukuliwa.
Huyu ni mgeni Dar,kaona kanisa,akafikiri ni msikiti,akiwa na kibajaj chake.Huo uongo mtupu.
Hakuna msikiti posta kuna round about. Msikiti wa kwenye round about kwa uhindini Dar ni msikiti wa wangazija nao upo mbali sana na posta.
Karibu ya posta kuna kanisa.
Safi sana...huo ubabe ndio unatakiwa kabisaMimi ofisi zangu zipo posta maeneo flan ambako napoenda au kutoka hupita mitaa flani kuna nyumba ya ibada pembeni ya round about.
Ndugu zangu kwa kuwa na uelewa mdogo wamebinafsisha ile barabara siku za Ijumaa na Siku nyingine pia saa saba mchana. Wanafunga barabara wanafanya ibada.
Kufanya ibada yao si jambo baya.but why watufungie barabara sisi wengine?kwa nini kufanya kwako ibada iwe kikwazo kwa wengine?
Mara kadhaa nmepita maeneo flani hasa magomeni,mwanyamala na ilala... Unakuta njia imefungwa...ukitizama kuna ndugu zangu wametandika mikeka na maturubai wamekaa. Huu ni wendawazimu.mnazibaje barabara kwa issues zenu binafsi?
Leo sasa ndo imenikwaza nikasema kama mbwai mbwai. Narudi home mitaa flani hapa dar.mimi kwangu ni nyumba ya mtaa wa mwisho kabisa hivyo kuna barabara ya mtaa ambayo inaenda kukomea kwangu.
Kushoto kwangu na kulia ni nyumba za wadau wengine mtaani kiukweli hatufahamiani sababu kila mtu anakuwa getini kwake ndani and nobody gives a damn about others.
Mimi nmewahi kutoka job nmechoka sana nirudi home nipumzike.so saa kumi tu nipo home.nmefika nakuta barabarani kuna gari nne zimepark zime block barabarani.maana zimesimamishwa barabarani kabisa.
Nikashuka nikaanza tembea gari ya mbele yangu ndo jamaa alikuwa anashuka.nikamwahi kumwambia please umepark barabarani nataka kupita akanicheck akaendelea kuongea na simu akaingia nyumba ya jirani yangu geti lilikuwa wazi.
Mimi kwenda kucheck nikakuta pale uani wametandika mikeka na watoto wengi na wamama wamekaa wakiendelea na shughuli yao.
Nikaona si ustaarabu kuingia ndani wakati wao wamevua viatu nikamwita mtu mmoja kwa ishara.akajishauri sana baada ya kama dk 5 akaja na kuniuliza nataka nini.nikamweleza tatizo langu.akarudi ndani akakaa.
Nikamwita wa pili.akaja naye akarudi akaenda mnong'oneza kitu mshughulika na music akakaa.nikawa naanza kuiva kwa hasira.akafika bwana mwingine huyu alikuwa mstaarabu.
Nikamweleza akasikitika sana.akaingia ndani akatoka kama baada ya dk 7 hivi.akasema "wenye magari wamepata taarifa" nikasubiri kama dk 20 bila mtu kutoka.
Nikaona isiwe shida home nimeshafika.nikazima gari,nika lock milango nikajiondokea kwenda home.nimefika home nikaoga nikalala nlimwambia tu dada mtu akija amwambie nimelala huwa siamshwi.
Jamaa imefika saa 11 wameanza kutafuta mwenye ile gari...kila nyumba wakafika home kwangu.wakapewa ujumbe.wamebembeleza sana nmegoma kwenda mpaka wameenda mwita mjumbe.kwa heshima yake nimeenda wasikiliza. Jamaa imekuwa zamu yao sasa. "Ukijua ya mbele wenzio wanajua ya nyuma" na siku zote "jeuri ndugu yake kusudi"
Basi mjumbe kanisihi sana.nikawaambia haina shida nmerudi ndani nikawaambia siioni funguo.hivyo namwachia dada jukumu la kutafuta home mimi naenda tafuta ilipo gari.
So nimeenda kwenye gari nikazunguka zunguka then nikasema pale haipo tumsubirie dada toka home akipata alete.jamaa wamebembeleza mpaka sasa wamebaki wanalaani tu.
Nami nimeenda kamata jamaa zangu kijiweni nimewaambia wakanioshee gari pale pale ilipo na pia wanilindie.wapo watano masela wa kitaa. Nmewaambia tu nina 25,000. Mmoja akafungue tairi aseme anaenda jaza upepo.
Mpaka muda huu i am the one who laughs. Wazungu walisema " he laughs better who laughs last"navuta vuta muda mpaka saa mbili ndo naenda itoa gari.nmewasikia wanaenda kuita polisi.
Bahati mbaya wote hatufahamiani.nami nasubiri aje polisi...tuzungumze.maana sasa gari tairi moja imetolewa na kwenda fichwa hapo jirani.
Ni kwanini ndugu zangu huwa mnapenda sana kukwamisha ratiba za wengine?tunacheleweshana.imani yenu iwe yenu msiwakwaze na wengine. Na ondoeni ujuvi hausaidii hasa kwa sisi wajuba hatupatani na wajuvi.
Mrejesho.
hatimaye tumefikia muafaka saa 20:05 baada ya mjumbe kuja kuniomba kwa heshima yake niondoe gari. Jamaa walitaka eti wakainyanyue cruiser. Nlitoa tu kiberiti cha gesi na kuwaambia atakaye gusa gari yeye na gari wote nawatia moto.
Jamaa wanadai mimi navuta bhangi si wa kawaida. Nimemheshimu mjumbe wangu.tairi limerudishwa nimetoa gari kuwapisha nami nirudi home. Naamini wamejifunza next time ndo wajue nitalaza gari hapo hapo kama mbwai mbwai tu.
weka ugoko mimi naweka jiwe. Keusi keusi....hakuna kulea ubovu. Tutaendelea kufundishana kwa vitendo.
Katikati ya barabara mkuu nachosema namaanisha yani pale tulisuguana wenyewe kwa wenyewe zaidi ya saa moja kupishana lakini wapi maana vichochoro vyote vilijaa magari mbaya zaidi mvua ilikuwa inashuka mbaya kabisa,mpaka walipomaliza wakajizoa zoa na sahani zao za plastic na vikombe vya uji na kutoa meza zao za kuunga unga ndo tukapita,mazingira yenyewe wanayokula machafu mitaro imeziba mimaji michafu inapita chini ya meza yani tafrani.nyam nyam nyam hhh..
Dah,ina maana watu wanakula katikati ya barabara..
Hhh hio njaa ni kiboko
KWA KWELI UMENIFURAHISHA SANA,Mimi ofisi zangu zipo posta maeneo flan ambako napoenda au kutoka hupita mitaa flani kuna nyumba ya ibada pembeni ya round about.