Mmmmh.... Labda ni masikio yangu au speakers zimekufa kwenye haka kaComputer kangu?!
Mbona picha zinyewe hazitoi SAUTI sasa kuongea?
Kuna "kuzungumza" na kuna " kuongea" ndugu..... hizi picha zina "zungumza" hata bila sauti! Upo?
sio zote.
Kuna "kuzungumza" na kuna " kuongea" ndugu..... hizi picha zina "zungumza" hata bila sauti! Upo?
Ipi isiyozungumza hapo?