Acha nyodo

Acha nyodo

Mnatuchosha hamna jema
*Napenda sauti yako kama kinanda, sauti ya kumtoa nyoka pangoni.
*Sura yako nzuri natamani nikuone kila saa kila dakika.
*Wewe ndio mschana wa kipekee katika dunia hii sina mwengine zaidi yako, Sijui kwa nini hatukujuana mapema.
(Hapo vipi[emoji12] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] )
 
Isingekua kazi yako ya udj hahhahaha ningekuambia you are just another f***k boy s Kwa sound hizo unanidanganya live live
 
Nilijua dj nipo stejini napiga nyimbo za taratibu "bluez" huku nawasindikiza watu waliokumbatiana na maneno matam matam[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
3c19a07d19952334269d43387f35bd6a.jpg
chukua under 14 ...tena unakuta kitu mnato...hayo manamake mazee yanakuzeesha
 
Haha haha haha haha hongera una kipaji
*siku ya kwanza nilipokuona mrembo wangu mapigo ya moyo yalienda mbio.
*Leo siamini katika dunia hii nimekupata mtoto mzuri kama wewe.
*Zawadi yangu kwako nakukabidhi pendo langu, naomba ulitunze kama ninavyokutunza ndani kabisa kwenye moyo wangu.
*Ningekuwa na uwezo ningeufungua moyo wangu uone jinsi ulivyonafuraha kwa kuhifadhi na kulitunza pendo lako peke yako, niamini mpenzi wangu sina mwengine zaidi yako.
(Hapo vipi[emoji12] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] )
 
*siku ya kwanza nilipokuona mrembo wangu mapigo ya moyo yalienda mbio.
*Leo siamini katika dunia hii nimekupata mtoto mzuri kama wewe.
*Zawadi yangu kwako nakukabidhi pendo langu, naomba ulitunze kama ninavyokutunza ndani kabisa kwenye moyo wangu.
*Ningekuwa na uwezo ningeufungua moyo wangu uone jinsi ulivyonafuraha kwa kuhifadhi na kulitunza pendo lako peke yako, niamini mpenzi wangu sina mwengine zaidi yako.
(Hapo vipi[emoji12] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] )
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lol umenishinda[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
*macho yako mazuri kama gololi.
*nikinywa maji nakuona kwenye glasi
*nakuwaza sana mrembo mpaka nikitembea njiani najikwaa kwa mawazo
*nikilala sipati usingizi nakuota wewe
*Moyo wangu umeufunga kama kufuli mlangoni.
*Wenye wivu wananiambia niachane na wewe nimewajibu sikuachi hasilani.
*Nikijiangalia kwenye kioo siioni sura yangu naiona sura yako
(Naombeni ulinzi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] )
 
*hakuna kitu kizuri duniani kama upendo, hasa kupata bahati ya kupendwa na mtoto mzuri kama wewe.
*natamani niileze dunia nzima itambue jinsi ninavyokupenda.
*kuna mamilioni ya wanawake katika Tanzania hii, kuna mabilioni ya wanawake katika dunia hii, lakini moyo wangu umekuchagua wewe tu.
(Hapo vipi[emoji12] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125])
 
Hahahhahahhahhahahahhahahhahahaha nimecheka vibayaaa Kwa sauti we piga sound mwenye Mali anakuchora
 
*hakuna kitu kizuri duniani kama upendo, hasa kupata bahati ya kupendwa na mtoto mzuri kama wewe.
*natamani niileze dunia nzima itambue jinsi ninavyokupenda.
*kuna mamilioni ya wanawake katika Tanzania hii, kuna mabilioni ya wanawake katika dunia hii, lakini moyo wangu umekuchagua wewe tu.
(Hapo vipi[emoji12] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125])
Mhhhhh hongera Kwa tungo
 
Duh! Huu ujumbe nikimpelekea ex-wangu lazima anirushie mimatusi.[emoji12]
[emoji15] [emoji15] . Daaah...!!! Real men hatuko hvyo mkuu. Hata kma amekuwa ex wako kwa sababu iwayo yyt, be a gentleman. Huwez kumtumia msg kma hii.
 
Back
Top Bottom