Unafahamu bei za hicho kiatu
Madhara ya kuzoea kuvaa viatu vya, Mlimani City, kariakoo na Sinza ndio haya
Marekani ni ngumu kuingiza viatu feki mkuu, Mamlaka za udhibiti zipo makini sana sana
Bei za hicho kiatu ni mshahara wa Graduate Tanzania wa uhasibu serikalini kwa mwezi
Viatu vingi Tanzania ni malonya tu
Viatu Tanzania vimepigwa chata addidas sijui Nike lakini ni maraba ukivaa hayafiki miezi miwili yamechanika sababu ni Fake za kichina
Raba original ukizikuta Tanzania zinaanzia laki Saba ( 700,000) ukipunguziwa sana ni laki tano
Raba za laki mbili, Sio raba ni matambala yanapatikana Pale Mlimani city
Nilishangaa Jamaa ananiambia ameinunua raba 150,000 ya Nike Mlimani City, Baada ya kufanya mazoezi week mbili tu raba yake kwisha habari yake
Raba original ya kuanzia 700,000 Unafanya nayo mazoezi hata mwaka mzima kwa kukimbia kwenye lami bila kuharibika
Tanzania raba ni Fake mkuu