Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,369
- 12,373
Looh !Ebu usiwapangie matumizi ya pesa zao responsible men bana, afu wanatoa kwa upendo tu na sio shuruti. Acha wivu[emoji57]
NB: ila kwa wanaume mliooa naunga mkono msitoe pesa huko nje mpe wife, hivo msiwe na mchepuko[emoji6] hii ni spesho kwa wachumba na wapenzi kupeana pesa si dhambi.
Haswa mkuuEbu usiwapangie matumizi ya pesa zao responsible men bana, afu wanatoa kwa upendo tu na sio shuruti. Acha wivu[emoji57]
NB: ila kwa wanaume mliooa naunga mkono msitoe pesa huko nje mpe wife, hivo msiwe na mchepuko[emoji6] hii ni spesho kwa wachumba na wapenzi kupeana pesa si dhambi.
Aisee kuna takataka nikimfikiria natamani hela zangu ningekuwa namtumia bibi yangu kijijini ningepata baraka zaidi.Mkuu,
Acha kutoatoa hela kwa wanawake watakufirisi.
Hizo hela wekeza kwenye miradi, someshea ndugu wa familia yako yaani kaka na dada zako wa mama mmoja ili kupunguza utegemezi.
Kama umeoa hizo hela tumia na mke wako wa ndoa.
Kama hutaki sikubembelezi endelea kuhonga.
Unaguna nini mkuu,? Au una kamchepuko unakapa hela kibao afu home wife na watoto wako umewaachia kiduchu eeh. Baki njia kuu hela wape familia watakushukuru na kukuombea zaidi.
hahahahaaaaaa, vijana wameongezewa umri wa utegemezi sasa ni miaka 21.Ebu usiwapangie matumizi ya pesa zao responsible men bana, afu wanatoa kwa upendo tu na sio shuruti. Acha wivu😏
NB: ila kwa wanaume mliooa naunga mkono msitoe pesa huko nje mpe wife, hivo msiwe na mchepuko😉 hii ni spesho kwa wachumba na wapenzi kupeana pesa si dhambi.
Hizi ndio Akili za Mwanamke anayejielewaMkuu,
Acha kutoatoa hela kwa wanawake watakufirisi.
Hizo hela wekeza kwenye miradi, someshea ndugu wa familia yako yaani kaka na dada zako wa mama mmoja ili kupunguza utegemezi.
Kama umeoa hizo hela tumia na mke wako wa ndoa.
Kama hutaki sikubembelezi endelea kuhonga.
Ooh sawa kumbe siyo cha maana, sasa si ungechangia hicho cha maana ulichonacho mkuu? Afu mada ni kuhusu kutoa pesa sasa ulitaka nichangie kuhusu siasa ndiyo uone maana? Wachumba kupeana pesa ni kosa?Hapana sina Mke wala Mpenzi, ila tuu nashangaa unavyopigia promo uhongaji wa hela kwa wasio oa. Kama vile kitu cha Maana sana
Oooops Sorry Nilikuelewa vibaya . Alafu pia na wewe Mada hujaielewa pengineOoh sawa kumbe siyo cha maana, sasa si ungechangia hicho cha maana ulichonacho mkuu? Afu mada ni kuhusu kutoa pesa sasa ulitaka nichangie kuhusu siasa ndiyo uone maana? Wachumba kupeana pesa ni kosa?
It's ok usijali Son
Which comment tena? Si nilidhani yameisha kumbe bado una kinyongo mkuu? Basi nisamehe mimi 🤔